Watanganyika mnatuharibia Zanzibar

ushauri wako kama mganga wa kienyeji, haya nenda uje siku nyingine kuchukua majibu yako
nyinyi watu kutoka moshi ndio wizi wakubwa nyie kwani hatuwahoji ao wenzako huku zanzibar
 
soma maelezo vizuri ili ufahamu, mimi sijasema muungano uvunjike, nimesema watanganyika wasio kazi waondoshwe zanzibar mnatuchafulia hatutaki,
 
Na vitendo vya kuwaingilia mabinti kinyume na maumbile mmefundishwa na watanganyika?huoni hata video za nyimbo za wasanii wenu zinavyotia aibu?
 
Hao watoto wanalazimishwa kutazama hiyo mitikisiko? Mbona hamsemi juu ya wale wanaolala ufukweni na vichupi?
kwani ale wanaiba, wale wanakuja kwa starehe zao sisi hatuwataki hawa wizi
 
mashoga ao umewaona wapi kama na wewe humo
 
Na sisi watanganyika tumechoka na tabia chafu za wazanzibar!Haiwezekani wanaume watu wazima wagombane na kupigana na wanawake wakigombea wanaume!

Msituletee ustaarabu wenu mbovu wa Zenj huku bara!

HATUUTAKI!
acha kutunga watanganyika wengi hawatakiwi na wanawake kutoka zanzibar, uko bara na sisi tumepita mademu wanatukubali lakini nyinyi ni nadra sana kukubalika na wanawake kutoka zenj
 
We mshenzy hebu jitazame hiyo ngozi yako halafu uione ina utofauti gani na hao unaowaita Watanganyika???

Warogwa wewe!!!
umekuuma ukweli sio, haijaalishi ni ngozi aina gani tunaongea tabia, halafu ni vizuri umekuja ntakuuliza, hivi watu8 hawa machinga mbona wadogo hakuna shule za kuwasomesha uko? hawana wazazi uko? inakuwaje mtu anamuacha mwanawe aje kufanya wizi huku?
 
Last edited by a moderator:
Acha ubaguzi wewe, juzijuzi tu tulionyeshwa list ya wadau wakubwa wa madawa ya kulevya, wazenj kibao wamo!!
 
Hawa wazanzibar wabinafsi alafu wanahisi kama sie tunashida sana na huo muungano kuliko wao..mwenyewe sioni wa faida gani siwapendi kama nini.yapo mengi yamejazana bara yana njaa kama nini..midomo mirefu tuu ya kuongea kama chiriku ndo wamejaaliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…