Wa tanganyika wanaulilia muungano kwa gharama zozote. Kwa maslah ya matumbo yao. Na ukitaka ugomvi nao wambie ivo hapakaliki tena. Watanganyika vinganganiziiiiii tuachieni
izo ndoto zako kwanza ondosha, kwani umeme sisi hatulipii? halafu nafikiri hukunielewa pointi sio kuvunja muungano bali point ni kuwafukuza wasiokazi warudi wakapate elimu ya msingi
Na nyihe hatuwatak kwetu uku mmejaza migahawa utazan mnakarama ya ubaba ntilie... Vtoto vyenu vnuka mkojo no viiizi sn vya waume was watu japo vmefunka vchwaaaa...