Watanashati only

Mmmh
Picha ambazo ninazo ni baadhi ya watu walionunua nguo kwangu itakua sio vyema kuzipost humu
Af kingine sijui wanapostije humu pic au video
Kuna kialama cha + nimeclick ila inaonesha kupiga pic au video tu and not the gallery
Kingine kwa wenye uhitaji... wale waliopo serious tu
Naomba mnipm niwatumie namba yangu ya wsap kwa pics zaidi
[/QUOTE]
 
Sisi watanzania kwenye swala la marketing bado sana. huyu kaulizwa bei ya nguo kakimbia!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom