Watanashati only

Pney08

Member
Jun 22, 2019
64
125
Mm ni designer wa nguo mbalimbali
Nauza nguo zilizodariziwa na nguo za mishono mbalimbali plus size pia sijawasahau

Mwenye uhitaji wa nguo wadada kwa wakaka
Usisite kuni pm nitakujibu

Nguo ni za kushona, pata kwa bei nafuu tu na za ukweli

Bado sijapata sehemu rasmi za kuwekea kazi zangu ili ukihitaji nakuletea ulipo kwa wakazi wa dar-es-salaam tu!


Asanteni,

Hopeful nitapata wateja humu ndani
 

Pney08

Member
Jun 22, 2019
64
125
Picha ambazo ninazo ni baadhi ya watu walionunua nguo kwangu itakua sio vyema kuzipost humu
Af kingine sijui wanapostije humu pic au video
Kuna kialama cha + nimeclick ila inaonesha kupiga pic au video tu and not the gallery

Kingine kwa wenye uhitaji... wale waliopo serious tu
Naomba mnipm niwatumie namba yangu ya wsap kwa pics zaidi
 

Pney08

Member
Jun 22, 2019
64
125
Plus size ama wale wanene wenye nyama zao
Mashati haya ni mazuri sana
Unavalia offcn au mtoko wowote
Unavalia skirt/jeans/taiti
IMG_0409.JPG
 

Pney08

Member
Jun 22, 2019
64
125
Mabwanga na mashati yake styles tofauti
Off shoulders blouses/ gowns zinapatikana aina yoyote


Kuhusu size
Nguo nyingi ni free size na pia alhamdulillah ninakipaji cha kumjulia mtu size zake za kipimo kwa kumuona kwa picha ama live

Wale wenye shughuri/sherehe ama wanapenda tu kuvaa sare pia zinapatikana

Wababa sijawasahau picha zenu zinakuja
 

Pney08

Member
Jun 22, 2019
64
125
Wababa/kakas vijana wanaopenda kupendeza

Pendeza kwa bei nafuu kutokana na hali ya sasa
f807990a-8d67-4611-adad-fd96155503f7.jpg
0e6fc346-5e9a-4f46-86ef-0d483a72601a.jpg
b2175e53-3140-4701-bc88-b8a3db587041.jpg
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom