Watamjibu na Askofu Gwajima?

Na huko kwingine wanaitangaza timu yetu kwa nguvu zote nahisi kuna jambo haliko sawa
https://www.facebook.com/
View: https://web.facebook.com/reel/1212569200604954
 
You always put your foot in your mouth?
 
Unawezaje kumjibu mtu anataja jina la mtoto wako kuwa nae akipotea au wa kwake asiponekana na macho kesho akimaanisha akiuawa nae utaita waandishi wa habari na utoe majibu ya dharau au utataka kujua mtoto wako kapoteaje...
 
Nina wasi wasi mtoa ujumbe huu wewe utakuwa ni Alima Mdee. Gwajima kakosea wapi mkuu? Kusema vyombo vya ulinzi hasa usalama wa taifa wasiwe wanafukuzwa hovyo ajira yao ilindwe ilo ni kosa?
Kwani mtu wa usalama wa taifa si binadamu kama sisi? Hana moyo wa kuumia, hana familia? Haumwi, hawezi kupata magonjwa ya moyo na kusukari?. Kazi zao ni kubwa na kwa ukubwa ule ni muhim ajira zao zikalindwa. Yuko sahihi kabisa.

Kusema majehi yetu walipwe vizuri zaidi ni kosa??

Unafikiri Gwagima bila ubunge hawezi kuishi? Unafikiri gwajima mpaka kajilipua hivyo hajui madhara yake? Ni wazi kuwa yuko tayari kwa lolote. Mm nataman wamjibu ili aje tena amwage mengi zaidi.
 
Watanzania ni Wajinga? Mpaka leo Watanzania hawajui wanaowateka watu na kuwapoteza ni wakina huu sio Ujinga huu?
Wote wenye akili timamu wanajua,nani anafanya maovu hayo,utekaji, utesaji na mauaji ya wakosoaji yanafanyika kisiasa sasa haihitaji elimu kubwa kujua nani ni mnufaika wamauaji hayo na ndiye muuaji mwenyewe, majibu kama vile kifo ni kifo tu ndiyo yanapigia mstari kabisa nani anawatuma wauaji. Alichofanya Gwajima ni kuvaa ujasiri wa kuusema ukweli ambao wote tunaufamu.
 
Huyo siyo Gentleman,she is a madam
 
relax gentleman,
ukweli ni kwamba hayo ni mapigo ya mwisho ya kupotea kwa Gwajima nani ya siasa za CCM na siasa Tanazania kwa ujumla baada ya kuthibitisha kwamba wananchi hawamuelewi na hakuna mbeleko this time around 🐒
 
Things have to change

Gwajima ni only ‘bearer of bad news’

Uhalisia ni kwamba ‘Samia kaonyesha ya kuwa ni raisi wa hovyo’. Na namna raisi anavyoweza tumia madaraka yake ya kikatiba vibaya kwa maslahi yake.

Hilo limekuwa somo kwa civil servants, tafsiri żengine watanzania ni vichwa maji.

Vinginevyo Gwajima ni mpeleka salamu tu.

But then how thick are we mentally, my god.
 
Watafungia kanisa lake very soon, watawatumia wale mashehe ubwabwa kumjibu kwa kupayuka
Nikupe taarifa TU kua ASKOFU GWAJIMA ameweza kujenga MEGA CHURCH (TAASISI IMARA YA UFUFUO NA UZIMA) KILA WILAYA TANZANIA HII KUNA KANISA LAKE LA UFUFUO NA UZIMA.

PIA ANA MAKANISA ULAYA NA JAPAN KUNA MAKANISA YAKE ( HUDUMA ZAKE ZA UFUFUO NA UZIMA ZIPO WORLD WIDE)

😁NANI SIJUI AJE AMJIBU ATAPATA KILICHO MTOA MANYOYA SHINGONI..JAMAA HUWA WANAUWEZO WA KUSALI KUMWOMBA MUNGU ASHUKURIKIE MAADUI ZAKE NA HAKUNA ALIE WAI KUANZISHA BIFU NA GWAJIMA NA AKATOKA SALAMA YETU MACHO NA MASIKIO.
 
Wauwaji kina mililo wameshiba pesa za mauji
 
Yule sura mviringo kashfa ya mabinti imemmaliza kabisa hawezi fungua koo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…