Kutoka kulia ni mkuu watu8 ,akifuatiwa na kijana mrefu na mtanashati BUJIBUJI,mwenye mdomo wazi ni boflo, anaefuata ni dadaetu lala 1,akifuatiwa na pretta.Mwenye kitenge ni madam B, akifuatiwa na paloma,mbele yake kuna mbuzi mzee,mzizimkavu, na dogo mmoja anaitwa godoro-la-comfy.Wakiwa katika picha ya pamoja baada ya semina ya siku mbili.