Watalii Watue CHATO na sio Kilimanjaro

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
17,290
Reaction score
26,766
Baada ya Serikali kufungua anga kwa ndege za Kimataifa, na kwakuwa huko kwa mabeberu summer time ndiyo hii basi wataslii wameanza kumiminika, na Kufikia mkoani KILIMANJARO.
Hili ni pigo kubwa sana kwa serikali na imemchefua mkuu huku Kigwangala akipongeza bila kujua bosi wake amechukia ila hajasema.

Watalii hawa wangeshukia CHATO-BURIGI mkuu angefurahi sana na angeenda kuwapokea mwenyewe, angeweka ndio talk of the day!
Sasa Burigi imepewa kila kitu mpaka simba wale wenye afya nzuri, tembo na wanyama wa kila aina wamepelekwa huko, mbona watalii hawaendi?

Kwanini kila mtalii akija Tanzania anashukia Kilimanajro, Arusha ,Zanzibar then anarudi kwao?
 
Hii ndio Tanzania kila kona kuna kuvutio cha utalii
 
Huo uwanja wa Chato na Burigi ni "Gbadolite" tu! Subirini 2025 mtaona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…