Barantogwa
Senior Member
- May 3, 2014
- 135
- 179
Hii ni gia.Wataramu ndio watu gani?
Mkuu, mshatoboa aiseeJamani habari za j.pili.
Kuja rafiki yangu yupo Morogoro, siku kazaa zilizopita alinitumia picha hiyo hapo chini👇,
akiniomba nimsaidie kuulizia kuwa hayo ni madini Gani na thamani yake ikoje sokoni?
Mimi Sina ujuzi juu ya madini na Vito, kwa mwenye uelewa naomba msaada wenu.
😀😀😀😀😀😀😀😀Wataramu ndio watu gani?
😀Hapo umasikini bye bye mwanetu, karibu tule bata.
Mh huu mwandiko upo kimkakati sana.Jamani habari za j.pili.
Kuja rafiki yangu yupo Morogoro, siku kazaa zilizopita alinitumia picha hiyo hapo chini👇,
akiniomba nimsaidie kuulizia kuwa hayo ni madini Gani na thamani yake ikoje sokoni?
Mimi Sina ujuzi juu ya madini na Vito, kwa mwenye uelewa naomba msaada wenu.
Hueleweki wewe nyumbuAMASISTI Hyo.hayana thamani.thamani yake ndogo
Nitapeli kwa faida gani mkuu? Hizo ni picha nimetumiwa na mwenye Mali, yeye yupo Morogoro, Mimi nipo Mwanza. Picha nyingine ni hiyo hapoUzi umekaa kutapeli ila ngoja nikusaidie
Professional huwezi kufanya gem identification kwa picha ila kwa uzoefu yanaonekana kama ni quartz aina ya amethyst kwa sababu ya rangi yake ya purple hata shape yake mara nyingi quartz huwa na hiyo shape ya kuchongoka na kuhusu thamani yake bei yake ni kawaida sana sokoni.
Hii consultation wenzio wanalipia.
Yanaitwa Amethyst. ikiwa na rich purple color, haina cracks, iwe clear- isiwe na inclusions, size kubwa gram 10 kuendelea. Nanunua kwa 500,000 kwa gram.Jamani habari za j.pili.