Mama Debora
JF-Expert Member
- Aug 30, 2018
- 1,481
- 2,608
Nawafaham sana hawa vijana ...ntaenda kwa fundi wang pale Moro Yuko vizur najua atanipa bei nzur
Utoke Mboka Manyema mpaka Moro kisa Laptop ya 150,000???
Nawafaham sana hawa vijana ...ntaenda kwa fundi wang pale Moro Yuko vizur najua atanipa bei nzur
Hahaha yani kule wananunua vitu bei rahisi ila wao wanakaza sana, sema yote yanawezekana miezi miwili nyuma niliibiwa laptop na nilikuwa ninahitaji laptop inisogeze kwa mwez mmoja hivi ndipo nije ninunue tena mashine ya maana, nilienda kule wakataka nipige chromebook kumbe mimi mwenyewe fundi ilikuwa mpya nikaikata, wakata niuzi laptop ina kiprocessor week cha AMD nayo nikaikata nikaja nunua laptop ya dell ambayo ilikuwa imefunguliwa niliinunua 80,000 kama ilivyo keyboard ikiwa pembeni hdd imetolewa, ram hazimo na kadhalika nikaja ifunga mwenyewe nikaitumia fresh baada ya mwezi nikampa mtu ila ilikuwa inapiga kazi fresh tu.Hakuna sehemu kuna vijana wanajua ku under value electronic device kama vijana wa kariakoo maeneo ya kongo, agrey na machinga complex....hiyo kukupa 50,000 wala awashituki tena wanaweza kukuambia wamenunua bila maslai....ila nenda wewe unatafuta kitu bei utakayo pewa ni ya devoce mpya na wataisifia kwelikweli
Mwez huu ninaenda kwenye graduation yang pale chuo cha Sua ndo maana nikaandika hivyo ......kumbe una under value 150K sio kama siihitaji hyo pc naipenda sana mkuu!Utoke Mboka Manyema mpaka Moro kisa Laptop ya 150,000???
Wale vijana sio wazur kwa mgen wa electronic deviceHahaha yani kule wananunua vitu bei rahisi ila wao wanakaza sana, sema yote yanawezekana miezi miwili nyuma niliibiwa laptop na nilikuwa ninahitaji laptop inisogeze kwa mwez mmoja hivi ndipo nije ninunue tena mashine ya maana, nilienda kule wakataka nipige chromebook kumbe mimi mwenyewe fundi ilikuwa mpya nikaikata, wakata niuzi laptop ina kiprocessor week cha AMD nayo nikaikata nikaja nunua laptop ya dell ambayo ilikuwa imefunguliwa niliinunua 80,000 kama ilivyo keyboard ikiwa pembeni hdd imetolewa, ram hazimo na kadhalika nikaja ifunga mwenyewe nikaitumia fresh baada ya mwezi nikampa mtu ila ilikuwa inapiga kazi fresh tu.
Mzee kuna laki 1 hapa haina kazi kama inawezakana njoo ichukue,, alafu nikatengeneze hicho kioo mwenyeweWakuu kwanza natanguliza salaam kwa wakubwa NA wadogo!
Nina pc yang ya lenovo minicomputer imepata crack kwenye screen sasa hivi imeweka wino ,naomben msaada jins ya matengenezo NA gharama zake
Natanguliza shukran View attachment 921922
Naenda kusafisha huo wino mambo yakaeMzee kuna laki 1 hapa haina kazi kama inawezakana njoo ichukue,, alafu nikatengeneze hicho kioo mwenyewe

Sawa mkubwaNaenda kusafisha huo wino mambo yakae![]()