Naomba msaada wa kutatua tatizo hili kwenye Modem Huawei E173

The Garang

JF-Expert Member
Jan 16, 2018
2,325
4,138
Habarini wakuu,wakubwa zangu shikamoni,

Nina modem yangu ya huawei Airtel iko cracked kusoma mitandao yote, hapo awali ilifanya kazi vizuri katika computer zenye window7 8 & 10 lkn sasa nikijaribu Ku connect kwenye computer yangu ya w10 OS inaleta ujumbe huo apo chini, nimejaribu kuinstall upya lkn bado ,nimefanya updation bado ,natanguliza shukran zenu wakuu
kjk.JPG


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo itakua ni port ndo zmezingua, Uninstall dashboard ya hyo modem then anza ten kuinstall upya dashboard ya hyo modem.

Wish itasaidia mkuu
 
hivi modem zinazotumia dashboard kama hiyo bado zipo duniani kumbe!
 
Wazee, hivi kuna uwezekano wa kuipiga modem software OS nyingine nitoee ile ya zamani niweke mpya?
 
mtoa mada achana hiyo modem itakusumbua sana tafuta motoleo japo ya mwaka 2015 hivi
 
Ndio kiongozi. Maana firmware iliyomo ni ya zantel ya zamani sasa haisomi laini yoyote hata hizi zantel mpya
Model yake ni HUAWEI EC122
Hyo ni CDMA mkuu cha kufanya nenda duka zantel waambie nahtaj laini ya CDMA watakupatia huwa inagharmu kma elfu10 hvi.

Kumbuka CDMA moderm haiwez support GSM SIM card kwa hiyo solution pekee ni hiyo.

Nawasilisha
 
  • Thanks
Reactions: Paa
Hyo ni CDMA mkuu cha kufanya nenda duka zantel waambie nahtaj laini ya CDMA watakupatia huwa inagharmu kma elfu10 hvi.

Kumbuka CDMA moderm haiwez support GSM SIM card kwa hiyo solution pekee ni hiyo.

Nawasilisha
Je si ninaweza kui unlock alafu ninunue CDMA SIM card ya mtandao mwingineikasoma?
 
Habarini wakuu,wakubwa zangu shikamoni,

Nina modem yangu ya huawei Airtel iko cracked kusoma mitandao yote, hapo awali ilifanya kazi vizuri katika computer zenye window7 8 & 10 lkn sasa nikijaribu Ku connect kwenye computer yangu ya w10 OS inaleta ujumbe huo apo chini, nimejaribu kuinstall upya lkn bado ,nimefanya updation bado ,natanguliza shukran zenu wakuu View attachment 1416071

Sent using Jamii Forums mobile app
Windows 10 inatabia ukichomeka modem ina connect moja kwa moja bila kutumia dashboard sa ukijarbu connect itakwambia iko connected ebu check pale chini kwenye network
 
Hilo tatizo pia hunitokea ukichomoa modem kwa pc bila kufata utaratibu sahihi, hunilazimu kuingoa kabisa na ku install upya. Remove all features. Yes
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom