kwani wewe hujui kusoma
aisee, hiyo windows 8 625 iko straight forward katika maelezo yake,
usiwe mvivu wa kufukunyua mkuu, kama opera min haitumiki kwenye hyo cm,
tumia UC BROWSERS, haipokei application yoyote, na pia ina free
application nyingi sana kuliko hata playstore