Watakaobainika kuhusika na sakata la Katibu Mkuu kudhalilishwa utu wake waanikwe hadharani

Yani kweli Chongolo ni wa kutuma Pic kwa kakimada kake!!??
sidhani kama anaweza kufanya hivyo

sio michezo ya Bashite hiyo kweli!!??

Manake hata Gwajiboy alishapigwaga tiktaka ya namna hii na
Bashite.
Yule DC ambaye aliunga juhudi kutoka CHADEMA na mabye alijitokeza kutetea DP WORLD aliyekuwa anapapasa ubaraza wa Giggy Money kwenye gari, baada ya kutoka lodge maeneo ya Juliana Mbezi ungeamini kwa kuambiwa tu ama kupewa picha moja kama si ile video Giggy kuivujisha?
Mwanasiasa haaminiki hata siku moja# Hasa waliolewa madaraka.
 
Yuko sawa, private matters hazipaswi kuwekwa hadharani, na sheria ya right to privacy ipo.
Hakuna private issue kwa kiongozi.

Kiongozi akiumwa Lazima tuambiwe,akisafiri tuambiwe n.k n.k.

Wewe ukiugua au kusafiri ni familia yako inajua
 
Mkuu kama hakukata Bima ya gari lake.....Hizo ni Njama kweli?
Naona unataka kujiingiza kitengo cha private investigation.
Bado ni mchanga hapa, .
Unaweza nnunua gari, kila ikitaka kukata unaitwa vikao, ukituma kijana washaweka mtu systeam iwe chini. kama waliweza kufunga ofisi ili wapinzani wasirudise form na wengine wakasema wapinzani nchi nzima hawajui kujaza fomu na wewe ukakubali hili linashindikana?
 
Sio Mchanga kabisa mkuu, na hujui fani gani nyingi nimepitia! ......Wewe ndio nakushangaa....! Chongolo na akili yake timamu......unaweza kuingiza gari bila bila bima....na ukatengenezewa ajali....na hayo mengine....Be serious Mkuu....kateleza na goli wanalifunga...!
 
Msando alipata nguvu baada ya mke wake kuvumilia[huwezi jua labda na mke naye akaamua kugawa] ili kulipiza kisasi.

Jaji Mfawidhi: Wanawake wengi wenye "akili" huwa wanavumilia.....kwa ajili ya watoto.....na pensheni yao kubwa maishani mwao ni mwanaume! kwa ajili ya Elimu ya watoto....Mume akifa arithi angalau nyumba.....Na wengi wameishakubali kwamba wanaume wote ni baba mmoja mama mmoja! Hawana jinsi.!
 
Ahhh alipostiwa utupu wake kwenye magroup ya CCM,pic alokuwa amemtumia kabinti kadogo,kakimada kake😂😂

Wanaume tuna shida! Ukiacha pituitary glands iongoze maisha yako hayo ndio matokeo yake! Unasahau Cheo chake, nafasi yako katika jamii, ni swala la kumuhurumia kama ni kweli! Na pia ni swala la kujifunza pia!
 
Hakika inasikitisha na kushangaza sana hii ROHO ya KISHETANI ya baadhi ya Wanaccm wenye UCHU wa Madaraka kuandaa mpango haramu wa Kumdhalilisha KADA KIONGOZI na Mwanachama mwenzao Chongolo.

Nakipongeza Chama kuamua Kuunda Kamati ya UCHUNGUZI ili kuwabaini wote Waliohusika na UJINGA na UPUMBAVU huo.

USHAURI kwa KAMATI: Chunguzeni kwa kina bila kumwogopa mtu ili haki itendeke Wahusika Watajwe hadharani na hatua kali za kisheria na kijinai zichukuliwe ili iwe fundisho kwa wote Wanaotumia Uhuru wa Mitandao kudhalilisha WATU kwa nia Ovu ya KUPATA MADARAKA.

Hivi huyu Kada alishindwa kujua simu huwa zinadukuliwa? Mbona kasahau mapema! Na kama ni kweli, maana bado ni tuhuma, yeye simu yake haikudukuliwa! Huyo kimada alishare na shoga zake, ikazungunguka zunguka hadi kwa wabaya zake! Unapoishi double life lazima uwe na akili za ziada! Lets hope kuna wabaya....kama yeye mwenyewe si mbaya wake!
 
Nappe , Makamba na wenzie walidukuliwa na SHUJAA seuze huyu?
 
Hakuna private issue kwa kiongozi.

Kiongozi akiumwa Lazima tuambiwe,akisafiri tuambiwe n.k n.k.

Wewe ukiugua au kusafiri ni familia yako inajua
Na akilala na mke wake lazima uambiwe eti eh. Akili nyingine bwana.
 
Back
Top Bottom