ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 24,812
- 60,674
Me natamani kukutana na smart911, kichwa kichafu na mdada mmoja hivi ila nimemsahau jina nikimkumbuka namtaja Sasa hivi.
Komasina
duh, 😂😂😂😂😂 nimekomaKoma
Haya nitaje hata Mimi ili usikome..😂duh, 😂😂😂😂😂 nimekoma
Koma kwakeli..😅Hakuna
hujambo dadasina
sjambo kaka jirani habari zasikuhujambo dada
Natamani kukutana na madam s na mashana je.na yule dada aliyenunuliwa vochasina
nzuri, bado uko tanga? au umerejea Dar???sjambo kaka jirani habari zasiku
niko tangaa hihiinzuri, bado uko tanga? au umerejea Dar???
ulipotea kabisa ukumbini JF. Basi vema.niko tangaa hihii