Mtani hapo anamaanisha kuwa Pale ambapo hutaki Adui yako akufatilie nyendo/hatua zako kwa hiyo unaamua kuvaa viatu hivyo...mbele kunakuwa nyuma na nyuma kunakuwa mbele...Hata ukifatilia utaona kama anakuja kumbe ameshaenda mbeleJoseverest akija atani tafsiria mie sijaelewa hiyo picha naona viatu vimegeuka geuka tuuu
hahahaha kichwa unewaza nini ninja?Hahahaha jamaa atakuwa anatembea kama beberu linalotaka kupanda.
Asante mkuuHahahaha jamaa atakuwa anatembea kama beberu linalotaka kupanda.