Nasikia wamesema kuwa watwakata wote Kama walivyofanya Bukoba mwaka 2020 kuwakata Wagombea ambao walikuwa na migogoro.Siasa za bongo mtifuano upo baadhi tu ya majimbo
Arusha , mbeya nk. Je
Arusha nani ni nani?
Gambo ccm?
Makonda ccm?
Lema chadema?
Uchaguzi ukifanyika baada ya reform hakuna cha Gambo wala makonda asema BwanaSiasa za bongo mtifuano upo baadhi tu ya majimbo
Arusha , mbeya nk. Je
Arusha nani ni nani?
Gambo ccm?
Makonda ccm?
Lema chadema?