mkuu it depend na matumizi yako.
Generally mi nazipanga hivi.
1. S3
2.n9
3.s2
galaxies
kama hupend kuchokora chokora simu unapenda kila kitu ukikute store, unapenda screen kubwa, unapenda mambo ya media kama video, hii ni simu yako.
nokia n9
mkuu hii ni historical phone n9 na htc hd2 zimeboot os nyingi sana na n9 imevunja rekodi ya dunia kwa kuboot os 7 kwa mpigo. (japo 3 tu ndo za kingereza). N9 inaboot android incase unataka more apps na zinarun vizuri tu.
Tatizo la n9 linahitaji uelewa mkubwa wa mambo ya simu maana kueka hizo os ni shughuli kidogo.
Pia n9 ni nzuri kwa watu wanaopenda kua tofauti na wenzao ntakupa mfano wa hizi apps hapa
whatsapp
whatsapp walikataa kutengeneza apps za n9 kwa madai kua ina watu wachache jamaa wenye n9 (wengi madeveloper) wakasema ok fasta fasta wakajitengenezea whatsapp yao inaitwa whatzzap yani ipo poa kushinda watsapp na unamtext mtu wa watsapp na anakujibu fresh tu na unajieka offline ukitaka.
Same kwenye instagram wamejitengeneza yao
kujua zaidi n9 ingia hapa
N9 Hacks : My Nokia Blog
pia usisahau n9 inaeza pata sailfish hapo baadae