PesaNdogo
JF-Expert Member
- Jun 19, 2013
- 1,994
- 1,291
Kuna hii therapy ya maji ambayo mtu anakunywa 1.5 litres (1500 mill) asubuhi kabla ya kula chochote, kisha anakunywa tena mills 750 mida ya saa tano hadi saa 7, baadae saa 11 hadi 12 jioni mills 750 zingine. Wakati wa kufanya hii therapy mtu asinywe vinywaji vyenye sukari.
Inaweza kufanyika kwa wiki mbili.
Kuna watu wametoa ushuhuda kwamba wamepona maradhi fulani fulani yaliyokuwa yakiwasumbua kabla ya hii therapy.
Kuna waliopona constipation, diabetes, insulin resistance, uzito mkubwa n.k.
Naomba kujua how does it work au it's just a work of faith.