Ungemtumia namba PM, Me nna tatizo ilo kwangu,,kuna asili ya maji chini,, ila uzuri wa kule Ardhi yake ni ya mchangaNi check mkuu 0715812160
Muulize TrumpHabari wataalam, mwenye ujuzi na hii issue na shimo la choo limejaa nusu(maji) ndani ya wiki 2.
Inaoneka maji yanapanda chini na pia hayanyonywi chini.
Mwenye kujua cha kufanya tafadhali.
yes kuna ukwleli 75% sasa afanyeje?Naweza juaje mkuu?
Kuna wajanja sikuizi wanatafuta namba za watu then wanatumia kwa utaperi mkuu,,ila sio namba ya kila mtu, Bali ya wale wenye ahueni ya life, wanaweza wakaifanya wanavyoweza namba yako,,inakuwa haipatikani,,then wanamtumia meseji mtu wako wa karibu kupitia number yako iyo Iyo, , kuwa umepata tatizo unaitaji hela na up.o. sehemu mbaya hasikupigie, ni habari ndefu, ,Pm ya nn mkuu kwani kuna tatizo gani hapa.
Sio kuaribu ni kuharibu na gt hawezi kuuliza swali la kijinga kama lile, kalne hii?Acha kuaribu maana ya "Great Thinker"
Kweli mkuu yamepungua zaidi ya futi 2 Asante kwa ushauri mzuriNakushauri kama hilo tatizo limetokea kipindi hiki chamvua usihangaikee..
Hayo maji yatanywea tuu chini..
Inaonyesha hilo eneo lako lina chemchem..au ni swap area..tulia tuu wakati wa kiangaz litanywwea..
Sometimes do nothing is also a solution..
Tuelekeze sote mkuu.mkuu kama huyo uliempa namba hajakutafuta niambie nikuelekeze Cha kufanya