ila kwa haraka haraka hilo shimo linaonekana kama dogo sana. Pia kama fundi hakusakafia chini na aliweka matundu japo unasema madogo sana (ni kawaida yanakuwa madogo sana ili kuta zisivunjikie ndani) basi chunguza vizuri inawezekana jirani yako naye kachimba shimo kama la kwako karibu na lako na mwelekeo wa maji yake ni kwako. hivyo basi ukigundua kama shimo lake kama lipo karibu na la kwako kazi ipo na sio ndogo.