Wataalamu wa ujenzi: Shimo la choo linajaa maji

Siyo Chemu Mchemu Bali Maji Unayotumia Kuoga Bafuni Ndo Yamejaza Choo Badala Ya Kutoka Nje Kuelekea Kwenye Mfereji
 
Sasa mkuu sim tank si litajaa mapema sana kwa sababu ali nyonyi.

Mkuu lita elf5 sio mchezo
Unafkiri karo kutojaa mapema ni maji taka kunyonywa chini??
Mimi kwangu ilikua kama kwako tulipata adhabu saana kulichimbua tanki vile kulikua na chemchem kila tukichimba tunakutana na maji
Ikanibidi kuweka watu wa kutosha wengine wanachimba wengine wanachota maji na kuyamwaga pembeni hadi tukafanikisha
Leo miezi mi4sasa hata nusu halijafikia kujaa
Mkuu ushauri wa pili kama upo jirani na pipe ya majitaka.nenda idara ya maji watakuja mafundi wao na kukuunganisha direct bila ya kutumia karo
 
Asante mkuu, naomba kujifunza na maji ya kuogea pia yanaingia huko? Au ni uchafu wa chooni tuu?
 
36959c86775d25d1f075c87121408aa7.jpg
9c6782c661198899835c6e743dfb922d.jpg
259d5c43031ba292c08981704bbfb68e.jpg
Si ulitakiwa kuwe na chemba mbili,moja ikijaaa nyinginge inapokea kutokana navyoona hapo hakuja chemba ya kupokea
 
inaonekana fundi wako aliyejenga sio mjuzi kabisa. kwenye sehemu ambazo water table ipo juu/chemuchemu au mabondeni shimo huwa linazibwa kabisa (sealed) kama kisima cha maji ya kunywa na unahakikisha linatokeza sana juu, utakuwa na kazi ya kunyonya maji machafu pindi linapojaa kutokana na matumizi yako. sehemu kavu au za kwenye miinuko shimo huwa lianaachiwa matundu madogo madogo ambayo huwa yanaruhusu maji kupenya unaweza kaa hata miaka 20 gari la kunyonya uchafu halijafika hapo nyumbai kwako. Wakati wa mvua unaweza ona maji yanakaribia juu ukifunua mfuniko lakini jua liwaka tu maji yote yanaondoka. kwa ushauri kama kiwanja chako ni kikubwa na pesa unayo chimba upya tafuta fundi mtaalam akujengee upya. usipende mafundi wa bei rahisi na pia wakati mwingine sikiliza ushauri wa mafundi kwani wanakuwa na uzoefu na ujenzi katika mazingira tofauti tofauti.
 
Shukran kwa ushauri. Eneo ni dogo sana, kwa ufupi limebana kabisa. Nasubiria maoni zaidi ya wadau mwisho nijue nitafanya nini.
 
inaonekana fundi wako aliyejenga sio mjuzi kabisa. kwenye sehemu ambazo water table ipo juu/chemuchemu au mabondeni shimo huwa linazibwa kabisa (sealed) kama kisima cha maji ya kunywa na unahakikisha linatokeza sana juu, utakuwa na kazi ya kunyonya maji machafu pindi linapojaa kutokana na matumizi yako. sehemu kavu au za kwenye miinuko shimo huwa lianaachiwa matundu madogo madogo ambayo huwa yanaruhusu maji kupenya unaweza kaa hata miaka 20 gari la kunyonya uchafu halijafika hapo nyumbai kwako. Wakati wa mvua unaweza ona maji yanakaribia juu ukifunua mfuniko lakini jua liwaka tu maji yote yanaondoka. kwa ushauri kama kiwanja chako ni kikubwa na pesa unayo chimba upya tafuta fundi mtaalam akujengee upya. usipende mafundi wa bei rahisi na pia wakati mwingine sikiliza ushauri wa mafundi kwani wanakuwa na uzoefu na ujenzi katika mazingira tofauti tofauti.
Pia wakati wana chimba hakukuwa na dalili hizo na wala huwez dhania. Hivyo pia siwezi mlaumu fundi.
 
Kwa eneo la Goba njia 4 hakuna chemchem. Au fundi alisakafia shimo chini? Au hakuweka matunda ya kunyoynya maji pembeni ya ukuta?
 
Chini hakusakafia matundu ya pembeni aliweka ila naona kama machache pia
 
Back
Top Bottom