wataalamu wa software na website naombwa kujuzwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wataalamu wa software na website naombwa kujuzwa

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by NGOGO CHINAVACH, Sep 22, 2011.

 1. NGOGO CHINAVACH

  NGOGO CHINAVACH Verified User

  #1
  Sep 22, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 797
  Likes Received: 145
  Trophy Points: 60
  kuna movie kadhaa nataka kuzidownload kutoka internet ila kila nikijaribu kuzigoogle naletewa vipande(siyo movie nzima) na nikifungua baadhi ya hits nakutana na kujaza maform ambayo baadae naletewa mambo ya credit card, mfano wa hizo movie ni wrong turn 4, kama kuna website amabayo naweza kupata horror movies naomba unipe. ASANTENI
   
 2. Wi-Fi

  Wi-Fi JF-Expert Member

  #2
  Sep 22, 2011
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 2,070
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  download torrent software then unaenda google unaandika iyo muvi yako kama ivi "wrong turn 4 torrent" au wrong turn 4 extratorrent" then kama iyo muvi iko bas utaweza kudownload ki-shortcut chake cha torrent then unaenda kwnye icho ki-shorcut unaclick then utaona inaanza ku-download.. hop it wil work
   
 3. NGOGO CHINAVACH

  NGOGO CHINAVACH Verified User

  #3
  Sep 22, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 797
  Likes Received: 145
  Trophy Points: 60
  po ngoja nifanye harafu nawaletea feedback
   
 4. Dio

  Dio JF-Expert Member

  #4
  Sep 22, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 1,278
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Hapo na mımı nımepata kıtu kipya.
   
 5. kibhopile

  kibhopile JF-Expert Member

  #5
  Sep 22, 2011
  Joined: Aug 5, 2010
  Messages: 1,304
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Nenda google download kisoftware kinaitwa bitcomet then Baada ta kuinstall nenda kene browser yako andika Torrentroom - best torrent free download site pale kuna movies, softwares, games etc, but kuna column ya kusearch so there u can search for a muv u want then ikidisplay unaclick na itafunguka katika new page with the message download this torrent, utaclick tena itadownload kishortcut chenye icon ya bitcomet then utaclick hiko kishortcut basi ile software ya bitcomet itadaka na kuanza kudownload then Kama una speed ya internet fresh then a movie of 700 mb ni Kama 45 minutes.
   
 6. NGOGO CHINAVACH

  NGOGO CHINAVACH Verified User

  #6
  Sep 22, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 797
  Likes Received: 145
  Trophy Points: 60
  asante ingawa sijaiona movie niliyokiuwa naitaka but nimekutana na nyingine ngoja nizidownload then nikazicheck
   
 7. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #7
  Sep 22, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,543
  Likes Received: 2,247
  Trophy Points: 280
  Mimi sitarudi Utorrent,4shared Kuna kirusi sijakipatia majibu computer inakufa unaiona then hata Kaspersky anapigwa chenga chenyewe kinaendelea kugegeda software ninoma bure ya ghali!!
   
 8. m

  milton2011 Member

  #8
  Sep 22, 2011
  Joined: Jan 16, 2011
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  wrong turn 4 - btjunkie
  jaribu hiyo link itakusaidia. unahitaji kua na software inayosupport torrents ili uweze kuidownload.
   
 9. NGOGO CHINAVACH

  NGOGO CHINAVACH Verified User

  #9
  Sep 22, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 797
  Likes Received: 145
  Trophy Points: 60
  kaka sijakuelewa dadavua vizur kwmba utorrent siyo link nzuri au ???
   
 10. NGOGO CHINAVACH

  NGOGO CHINAVACH Verified User

  #10
  Sep 22, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 797
  Likes Received: 145
  Trophy Points: 60
  vipi kuhusu virus/??????ngoja niicheck
   
 11. MtuMmoja

  MtuMmoja Member

  #11
  Sep 22, 2011
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 97
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Mzeiya,tumia uttorrent au bittorrent kwa kuzi install kwenye pc yako,kisha nenda",www.kickasstorrents.com" au "piratebay" kila muvi utaipata!!
  Ila WRONG TURN 4 bado haijatoka hii itatoka octobar,ukiingia utakuta trailer tu!!!!pamoja
   
 12. baghozed

  baghozed JF-Expert Member

  #12
  Sep 22, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 515
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  VIRUS hawakwepeki labda usitumie internet,so we tumia tu hiyo utorrent iko safi tu wala usiogope.
   
 13. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #13
  Sep 22, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Mkuuu wewe unatafuta movie hata kwenye theaater bado haijatoka. Kama haijatoka kwenye theater basi hata DVD zake kuuzwa ni bado sana. . Na uipata iliyorekodwa kwenye theater Quality yake inakuwa mbovu sana .

  Tovuti hii ya IMBD inaonyesha movie hiyo inaingia kwenye theater October. Au wapi huko ulikoanza kuonyeshwa tayari ari?

  Labda jaribu torrent za kichina Ila usumbufu wa lugha na google translator utapata kazi subiri labda by december ndio utapata torrent ya DVD tena kwa High Definition kutoka kwenye site hii maarufu wa torrent
  s

  Ina maana ulidowload ukaanza kulitumia file kabla ya kuliscan. Elewa pia karpesky ilikuwa best antivirus zamani sio sasa . Angalia au goole review za antivirus bora mwaka huu au mwaka jana. Karpesky ina sifa ya false positive alert . yaani kukamata virus wasio visrus kweli. Ndio maana wengi wanaimini wakidhani iko makini kumbe sio.......

  Bora hata utumie micrsoft secuirty essential amabayo kwanza inatumia resouces kidogo na somehow iko effective kuliko hata karpesky.
   
 14. NGOGO CHINAVACH

  NGOGO CHINAVACH Verified User

  #14
  Sep 23, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 797
  Likes Received: 145
  Trophy Points: 60
  asante kaka niliona trailer nikachanganyikiwa maana naipenda kinoma
   
 15. NGOGO CHINAVACH

  NGOGO CHINAVACH Verified User

  #15
  Sep 23, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 797
  Likes Received: 145
  Trophy Points: 60
  mi natumia AVAST free version
   
 16. NGOGO CHINAVACH

  NGOGO CHINAVACH Verified User

  #16
  Sep 23, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 797
  Likes Received: 145
  Trophy Points: 60
  asante sana ngoja nisikilizie
   
 17. Riley_Yung_Rizy

  Riley_Yung_Rizy Member

  #17
  Sep 23, 2011
  Joined: Aug 19, 2011
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  microsoft security essentials ndio mwisho wa matatizo yote ya virus nimedownload zaidi ya 400GB (Including games,cracks,pirated softwares) na sijawahi kusumbuliwa na virus wa aina yoyote.
   
Loading...