Wataalamu wa sheria msikose kunijibu..tafadhari.

Haya_Land

JF-Expert Member
Dec 26, 2017
5,527
2,000
Naomba kujuwa ....Endapo mtuhumiwa akifikishwa mahakamani..akafunguliwa ...mashtaka...kwa kifungu ambacho...sio sahii...mfano: Mtu ...ametenda kosa .ambalo ilo kosa linajulikana kuwa amevunja sheria ya mwaka wa 2009 lakini ...anapofikishwa mahakamani ..anaosemewa shtaka amevunja sheria ya mwaka 2005....Nauliza je hapo hukumu ikitolewa ..inaweza kuwa ..mtuhumiwa ...ametendewa haki.
 
Sokoro waito

JF-Expert Member
Nov 21, 2014
2,204
2,000
Jibu: Atakuwa hajahukumiwa kwa haki kwasababu ameshtakiwa kwa kifungu cha sheria kisicho sahihi,

je afanye nini? Kama ameshahukumiwa basi anatakiwa kukata rufaa haraka iwezekanavyo kwenda mahakama ya juu huku sababu yake kubwa ya rufaa ikiwa ni hii:

Hakimu alijikosesha kisheria kuamua kesi kwa kutumia sheria isiyo sahihi.

Ombi: unaomba mahakama hiyo ifutile mbali hukumu na mwenendo wa mahakama ile iliyofanya kosa tajwa hapo juu.

ANGALIZO: MUDA WA KUKATA RUFAA NI WA KUZINGATIWA SANA KWA KUANGALIA KESI ILIISHA MAHAKAMA YA NGAZI GANI NA UNATAKA KUPELEKA RUFAA KWENYE MAHAKAMA IPI.
 
Kwaiyo baada ya hapo kukata Rufaa mtuhumiwa anaweza kuachia huru.
 
kasabuku

Member
Dec 24, 2017
30
95
Kwaiyo baada ya hapo kukata Rufaa mtuhumiwa anaweza kuachia huru.
Kwa uelewa wangu.
A sitting wrong provision....
Endapo accuses amepelekwa na kosa ambalo hajashitakiwa nalo yaan provision of the offence not match mahakama lazima establish offence beyond reasonable doubt ndipo inatoa hukum sio tu kutoa hukum kwenye kosa ambalo halitendwa na accused person
Hiyo charge itakuwa curable endapo sheria iliyovunjwa ipo km sheria haipo au imefutwa bc charge itakuwa not curable mshitakiwa aweza kuachiwa

Vilevile kuna haki muhimu sana ya kikatiba ibara ya 13 (6)(a) haki ya kusikilizwa kwa ukamilifu na kukata rufaa endapo haki haijatendeka.
Pamoja na CPA cap 2o. Inaeleza intention to appeal ndani Sik 10 unatuma maombi yako hata kam siku 30 zikipita, intention to appeal itakusaidia kupokelewa kwa appeal yako
Watu tunakuwa wazembe kukata rufaa nakuto zingatia sheria lakini haki ya mtu sio kitu kidogo ........maoni tu
 
OK mkuu
 
Kimbunga

Platinum Member
Oct 4, 2007
14,504

Lakini mshitakiwa au Wakili wake alitakiwa aone hilo kabla ya kusikilizwa kwa kesi na kutumia PO kupinga shauri kusikilizwa kwa sababu hati ili cite a wrong provision of the law which is incurable
 
permanides

JF-Expert Member
May 18, 2013
6,325
2,000
Naomba kujuwa ....Endapo mtuhumiwa akifikishwa mahakamani..akafunguliwa ...mashtaka...kwa kifungu ambacho...sio sahii...mfano: Mtu ...ametenda kosa .ambalo ilo kosa linajulikana kuwa amevunja sheria ya mwaka wa 2009 lakini ...anapofikishwa mahakamani ..anaosemewa shtaka amevunja sheria ya mwaka 2005....Nauliza je hapo hukumu ikitolewa ..inaweza kuwa ..mtuhumiwa ...ametendewa haki.
Ulivyoandika hapa itasababisha upewe majibu ya uongo. Kuna sheria zilitungwa miaka ya nyuma ila zikafanyiwa mapitio mwaka 2002, na nyingine 2019. Kwa mfano CPA ni ya mwaka 1985, ila kwa sasa utaona inatajwa kama ilivyofanyiwa mapitio mwaka 2002, hawataji ule mwaka wake wa kutungwa, utaratibu huu upo sahihi. Hivyo kuna namna ya kutaja sheria tofauti na ule mwaka wake wa kutungwa. Hivyo ni bora ueleze kwa uwazi sheria unayoamini imetajwa kimakosa ili ushauriwe vizuri.
 
Sep 25, 2020
31
125

ikiwa hukumu imepita due to jugde was erred in provision of law..the aggrieved person may seek for judicial review..to the high court
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom