iam_cipher
Senior Member
- Feb 21, 2020
- 120
- 70
ni kwann sir...
Alafu nakushauri tumia open source editor kama vscode n.k
Alafu nakushauri tumia open source editor kama vscode n.k
Kwa sababu vscode ni free open source na unaweza kuitumia kurun python na ina uwezo wa kuwa IDE.ni kwann sir...
Kwa sababu vscode ni free open source na unaweza kuitumia kurun python na ina uwezo wa kuwa IDE.
Kama unaweza kuipata hiyo pycham popote kwa urahisi ikiwa na feature unazohitaji basi tumia ila usihangaike sana wakati kuna vya bure.
Nimefanikiwa kusolve hiyo error. Ubarikiwe sana mathsjery program ime-Run
Ni program ya kuchakata excel spreadsheets zenye data nyingi sana amabazo zinachosha kufanya manually, so hii program inawezesha kuongeza tija na ufanisi (productivity and efficiency) katika kazi.Hongera mkuu kwa kuweza kupata ufumbuzi wa iyo error iliyo kuwa inakusumbua.
Naomba niulize kaswali kadogo tu.
Et iyo project inayotengeneza nn aswa n software au n nn?