download from server #1 ,..Thank me later...Instrumental hio hapo.,.Au bado unataka kuclear vocal mwenyewe???
Next time google tu instrumental.,.Kuclear vocal ubaki na beat kwenye DAW is no game...
download from server #1 ,..Thank me later...Instrumental hio hapo.,.Au bado unataka kuclear vocal mwenyewe???
Next time google tu instrumental.,.Kuclear vocal ubaki na beat kwenye DAW is no game...
Hata mi Nina Shida na hiyo tena ingewezekana watutumie Clips,za Namna ya kutumia hiyo kitu#2017-No-Name
ahsante mdau kwa mchango wako, lakini nahitaji kutoa vocal na kubaki na beat tu sio kunvert toka video to audio, hapana
Mkuu unaweza nisaidia app nzuri kwa ajili ya hayo mambo ya kutengeneza mziki.download from server #1 ,..Thank me later...Instrumental hio hapo.,.Au bado unataka kuclear vocal mwenyewe???
Next time google tu instrumental.,.Kuclear vocal ubaki na beat kwenye DAW is no game...
App.,.??? Ya simu.,.???,..Nah,cjui aisee.,.Ila ka DAW for PC anza na FL Studio ni rahisi kujifunza.,.Japo zipo nyingi tuu Reason,Pro Tools,Ableton etcMkuu unaweza nisaidia app nzuri kwa ajili ya hayo mambo ya kutengeneza mziki.
Nataka ya Pc mkuuApp.,.??? Ya simu.,.???,..Nah,cjui aisee.,.Ila ka DAW for PC anza na FL Studio ni rahisi kujifunza.,.Japo zipo nyingi tuu Reason,Pro Tools,Ableton etc
Njoo DM.,.Nataka ya Pc mkuu
Waweza nisaidia link ya ku download direct ndugu yangu?
Mia...Njoo DM.,.
Mkuu unapatikana wapi ningependa kujua kupiga guiter na keyboard na drums mbeleni nataka nije kuwa mwimba kwaya professionalHiyo beat mimi ninayo, mimi ni mpiga vyombo kanisani.
Upo Dar???Hiyo beat mimi ninayo, mimi ni mpiga vyombo kanisani.
Nipo Dar MkuuUpo Dar???