mamserenga
Member
- Feb 24, 2019
- 28
- 11
Used
Bei ni ok sio mbaya, pia matumizi ya ofisi na graphics ( za picha kama ulivyosema) itafanya bila wasiwasi. Jitahidi tu ram iwe 8gb, hata kama inakuja na 4GB baadae ongeza 4gb nyengine iwe 8GB itakusaidia.Used
Unaweza tumia njia nyengine ila ni kama hio bluestack, kuna emulators mbalimbali kama nox, genymotion, youwave, andy, etc.Wakuu mimi naomba mnielekeze kama kuna namna yoyote naweza tumia watsap kwenye pc bila kutumia bluestack
Mkuu itakusaidia ila sio sana, nakushauri ongeza ram 2gb ni ndogo sana. Na ukiweka ram mbili inasaidia pia kuboost kwenye games. Mfano unataka ram ya 8gb nunua za 4GB mbili.Nina mashine yangu hapa
Processor: intel Core(TM) i7-2620M CPU @2.70GHz
RAM: 2.00GB
Vipi nikiongeza RAM naweza kucheza magem heavy?
Nashukuru kwa kunitoa hofu maana nlikuwa nasubiria jibu lako kkBei ni ok sio mbaya, pia matumizi ya ofisi na graphics ( za picha kama ulivyosema) itafanya bila wasiwasi. Jitahidi tu ram iwe 8gb, hata kama inakuja na 4GB baadae ongeza 4gb nyengine iwe 8GB itakusaidia.
Chief sijakuelewa hapo! Naangaliaje? izo maana hata sijui.Mkuu itakusaidia ila sio sana, nakushauri ongeza ram 2gb ni ndogo sana. Na ukiweka ram mbili inasaidia pia kuboost kwenye games. Mfano unataka ram ya 8gb nunua za 4GB mbili.
Games hadi za 2013 almost zote utacheza hizi mpya mpya unaweza uka force kwa kuweka graphics ndogo.
Haina dedicated gpu kama Nvidia ama Radeon/Ati?
-Angalia kwenye laptop pembeni ya sticker ya intel wanaweka hapoChief sijakuelewa hapo! Naangaliaje? izo maana hata sijui.
Chief hapa naona-Angalia kwenye laptop pembeni ya sticker ya intel wanaweka hapo
-fungua device manager kwa kuclick start kisha kusearch hilo neno ndani ukifika kwenye graphics ama video adapter angalia.
-click start kisha search neno dxdiag angalia kwenye graphics.
-pia kwenye bios unaweza ukaangalia.