Wataalamu wa OS za Linux

Wataalamu wa OS za Linux

Windows 10 wameweka support ya Ubuntu unapata a full blown bash shell, kwa developers hii kitu ikija kuwa stable(bado ipo kwenye beta) unaweza usihitaji kufanya dual boot au kutumia ubuntu or any other linux distro at all, nimeshafanya test kudeploy rails application inayo-connect na Postgresql and the process was smooth🙂
 
Chief-Mkwawa, unadhani kwanini OS za Linux hazina watumiaji wengi ukilinganisha na Windows? Je, ni nyuma kuzitumia, bado hazijajitoshereza ukilinganisha na Windows, au security yake ni ndogo?
security ya linux ni kubwa tu, tatizo la linux kubwa ni fragmentation kila mtu anafanya mambo yake kivyake ila wangekaa pamoja wangetengeneza store moja na kumrahisishia mtumiaji wa kawaida wangekuwa mbali, sasa hivi chromebook zinauza laptop nyingi kushinda hata ubuntu.
 
Hii ni os kubwa na mzuri sana,huwezi kuitwa System Administrator wa tasisi flani bila kujua kuitumia hii kitu,komaa nayo mkuu, na maranyingine kama package ya Microsoft word inakusumbua install hii kitu inaitwa wine software itakufanya utumie package yote ya Microsoft office bila matatizo.
 
Windows 10 wameweka support ya Ubuntu unapata a full blown bash shell, kwa developers hii kitu ikija kuwa stable(bado ipo kwenye beta) unaweza usihitaji kufanya dual boot au kutumia ubuntu or any other linux distro at all, nimeshafanya test kudeploy rails application inayo-connect na Postgresql and the process was smooth🙂

Nina swali unaezaje kurun implementation ya JAVA-OOP kwenye Linux? Nataka cofiguration ili nifanye execution ya codes.
 
naona UI yake ni sawa tuu nimecheki os zote linux based naona mfanano kote, bora wangekaa pamoja washushe stable os na nguvu wazielekeze kwenye kitu kimoja
 
ila naona wana ringa kwamba security yao ni nzuzi ila mimi naona wakishaanza kuwa famous na kutumiwa kama ilivyo window security itashuka wale waharibifu watafanya yao tuu. huko hajapatikana mtu wa kusumbua security sababu hakuna watumianji wengi
 
Chief-Mkwawa, unadhani kwanini OS za Linux hazina watumiaji wengi ukilinganisha na Windows? Je, ni nyuma kuzitumia, bado hazijajitoshereza ukilinganisha na Windows, au security yake ni ndogo?
Mkuu Linux ina security kubwa kuliko windows, watu wengi huwa hawapendi kutumia Linux distro kwa sababu sio user friendly kwenye upande wa utumiaji na pia kwenye upande wa software, kuna software nyingine package zake lazima uzipate kwa kuinstall kwa kutumia commandline hasa third party softwares, sasa mtu kwenye windows keshazoe next, next, next halafu finish unapomleta kwenye masuala ya sudo au yum lazima akate tamaa na ndo maana watu wengi wanaotumia Linux ni madeveloper kwa sababu distro nyingi za Linux zinakuja na environment nzuri za development, mfano compiler framework n.k
 
Hii ni os kubwa na mzuri sana,huwezi kuitwa System Administrator wa tasisi flani bila kujua kuitumia hii kitu,komaa nayo mkuu,kama na maranyingine kama package ya Microsoft word inakusumbua tumia install hii kitu inaitwa wine software itakufanya utumie package yote ya Microsoft office bila matatizo.
Mkuu sio kila package ya Microsoft inakubali kwenye wine nyingine zitaishia kustuck tu
 
If u are new to Linux and looking for appropriate OS better use Ubuntu. For me the best OS is Debian its stable and that's because I ran a small server. In short, Debian is more for a server and Ubuntu fits a desktop more.
mkuu naidharau linux sababu hizo ubuntu, mint, fedora n.k hazijapata watumiaji wengi ndo maana wanajitapa kwa security wako vizuri ukitaka kuamini cheki linuc kernel based os ya android cheki ilivo hafifu kwa security. unaona sasa watumiaji ni wengi na wameanza idukua.
always i stack on window at least and mac
 
Mkuu Linux ina security kubwa kuliko windows, watu wengi huwa hawapendi kutumia Linux distro kwa sababu sio user friendly kwenye upande wa utumiaji na pia kwenye upande wa software, kuna software nyingine package zake lazima uzipate kwa kuinstall kwa kutumia commandline hasa third party softwares, sasa mtu kwenye windows keshazoe next, next, next halafu finish unapomleta kwenye masuala ya sudo au yum lazima akate tamaa na ndo maana watu wengi wanaotumia Linux ni madeveloper kwa sababu distro nyingi za Linux zinakuja na environment nzuri za development, mfano compiler framework n.k
mkuu naidharau linux sababu hizo ubuntu, mint, fedora n.k hazijapata watumiaji wengi ndo maana wanajitapa kwa security wako vizuri ukitaka kuamini cheki linuc kernel based os ya android cheki ilivo hafifu kwa security. unaona sasa watumiaji ni wengi na wameanza idukua.
always i stack on window at least and mac
 
Inategemea na version ya Ubuntu mkuu na pia kabla ya kuanza kuitumia cheki kama Kuna any updates ipo kwenye Ubuntu update manager.
 
Mkuu kumbuka kuwa Linux ni open source, unaweza kuweka security yako kulingana na mahitaji yako, mfano mzuri chukua windows server na red hat server ujaribu kulinganisha security zake, ndo maana watu wanaojali security huwezi kukuta wanatumia server za windows, wengi wanatumia Linux server
 
Of course Linux sio ya kila mtu inabidi uwe unajua unachokifanya otherwise itakuchanganya. Kuhusu security ni very secure ila it depends on how you configure it, u have the freedom of doing everything no limitations.
 
poa hapo atleast inasaidia, ila si unaona hata android ni open source lakin bado wajanja wanafanya yao kuharibu security tuu, labda kama uko vizur umodify kifaa chako basi hapo utaweza nishauri ila sitilii maanani sana, mtu gani wa local ambae hata basic ya programming utamwelewa hivi vitu akuelewe?
 
Of course Linux sio ya kila mtu inabidi uwe unajua unachokifanya otherwise itakuchanganya. Kuhusu security ni very secure ila it depends on how you configure it, u have the freedom of doing everything no limitations.
yaa i know it is open source you can do whatever, but how about android though it is an open source? why a lot of people complain the os is bad for security?
 
hata wataamu wazito wanasema android ku customize bado security ni ishu
 
yaa i know it is open source you can do whatever, but how about android though it is an open source? why a lot of people complain the os is bad for security?
Linux makes up part of android but Google has not put all the libraries you find on Linux distribution like Debian that's why may be it's not so secure.
 
yaa i know it is open source you can do whatever, but how about android though it is an open source? why a lot of people complain the os is bad for security?
Watu wanapata root access ndo maana upande wa security bado ni mbovu, kumbuka kuwa android isipokuwa na root access bado ni secure sana mfano mzuri ni Silent OS ambayo ni android based operating system hii ina security nzuri na unaweza usidhani ni android na ndo maana geeks wa android wanazicustomize OS zao wenyewe
 
Back
Top Bottom