fakalava
JF-Expert Member
- Jul 16, 2015
- 4,459
- 6,030
Wakuu, baada ya kuhama kutoka OS za Windows nimeamua kujikita kwenye OS za Linux.
Baada ya kupitia machapisho mbali mbali na kufuatilia tutorials mbali mbali za video niliona nijikite kwenye Ubuntu, lakini nikagundua Ubuntu inahitaji muda hili ujue kuitumia vizuri.
Nikaisacha nika-install Mint, hii siyo ngumu maana kiasi fulani Interface ni kama ya windows japo bado kuna changamoto ya kuwa na uchache wa program.
Mkuu, kama wewe ni mdau wa OS za Linux ni changamoto gani unazokutananazo na ni OS gani unayoitumia, tofauti na hizi mbili.
Karibu tupeane uzoefu.