lui03152
JF-Expert Member
- Nov 27, 2020
- 251
- 338
Nataka kupanda miche kama kumi hivi ya miparachichi nyumbani. Naomba ushauri wa kitaalam ili inipe matokeo bora je ni aina gani ya mbegu nitumie kwa ajili tu ya parachichi bora ya kula nyumbani? Pili hi umbali gani niache mche kati ya mche na mwisho ni aina gani ya mbolea nitumie, shimo la ukubwa gani na ratio ya mbolea mchanga na udogo. Tafadhali wabobezi wa haya mambo naomba mukuje hapa.