Wataalamu wa mambo ya hisa(VIS - ETF)

Wataalamu wa mambo ya hisa(VIS - ETF)

Mike Moe

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2019
Posts
421
Reaction score
484
Habari za muda huu wanaJF naomba kwa wataalamu wa mambo ya hisa mtusadie ufafanuzi tuelewe utendaje wa vertex international security fund ipoje tutapataje faida kama tutawekeza, nimeona unaweza kuwekeza kwa kuanzia kununua vipande 100 kila kipande ni 200 na ukiwa na hivyo vipande kutoka kwa hao jamaa ni sawa na kuwa na hisa katika makampuni matano kama CRDB, NMB, PAL NICOL
Kwa wataalamu tupeni ufafanuzi tujue zaidi kama kuna magawio pia
 
Habari za muda huu wana jf naomba kwa wataalamu wa mambo ya hisa mtusadie ufafanuzi tuelewe utendaje wa vertex international security fund ipoje tutapataje faida kama tutawekeza, nimeona unaweza kuwekeza kwa kuanzia kununua vipande 100 kila kipande ni 200 na ukiwa na hivyo vipande kutoka kwa hao jamaa ni sawa na kuwa na hisa katika makampuni matano kama CRDB,NMB,PAL NICOL

LIPIA TANGAZO!
 
+1 (800) 242-8478
Hii ni namba ya chatgpt Save WhatsApp kisha iulize itakujibu vizuri sana huenda kuliko memba mwingine yeyote humu jf trust me
 
Kifupi hii ETF ni 🔥🔥🔥 wewe nunua vipande vya kutosha …….Yajayo yatakufurahisha
 
Habari za muda huu wana jf naomba kwa wataalamu wa mambo ya hisa mtusadie ufafanuzi tuelewe utendaje wa vertex international security fund ipoje tutapataje faida kama tutawekeza, nimeona unaweza kuwekeza kwa kuanzia kununua vipande 100 kila kipande ni 200 na ukiwa na hivyo vipande kutoka kwa hao jamaa ni sawa na kuwa na hisa katika makampuni matano kama CRDB,NMB,PAL NICOL
Kwa wataalamu tupeni ufafanuzi tujue zaidi kama kuna magawio pia
Endelea kufafanua zinavyofanana!
 
Kuna IPO nyingine ya INUKA DOZEN INDEX FUND. Wenye uelewa na hii mtujuze tujilipue
hiyo inawekeza kwenye kampuni 12 DSE lakini itakuwa Open - Ended fund kama UTT. Tofauti ya hiyo na VIS -ETF ni kwamba ETF itaorodheshwa DSE na kutakuwa na gawio while Inuka index fund itakuwa na ukuaji wa vipande kutokana na hizo hisa 12 zitakavokuwa zina - perform
 
Ooooh asante sana mkuu, kwa hiyo ipi ni bora kati yake na UTT
 
Back
Top Bottom