Wataalamu wa madini wanaitajika kutoa ufafanuzi.

Wataalamu wa madini wanaitajika kutoa ufafanuzi.

Chirozo

Senior Member
Joined
Dec 20, 2017
Posts
145
Reaction score
227
Habari za muda huu Waungwana.

Naitaji kujua kuhusu Kilo moja ya madini inakuwa na Gram ngapi?

Kwa yoyote mwenye kufahamu hilo anakaribishwa kuchangia.

CC, diaspora in town.
 
Habari za muda huu Waungwana.

Naitaji kujua kuhusu Kilo moja ya madini inakuwa na Gram ngapi?

Kwa yoyote mwenye kufahamu hilo anakaribishwa kuchangia.

CC, diaspora in town.

Kilo moja ni carat ngapi au gram ngapi?
 
kilo ni kipimo cha uzito wenye mlingano wa gramu elfu 1 haijalishi ni bidhaa gani iwe nyanya,viazi,nafaka,madini au hata wewe ukipimwa mfano una kilo 50 means equal una gram elfu 50
 
Kwani kilo hutofautiana kutokana kitu na kitu?
Mkuu umesoma vizuri maelezo yangu?

Kikawaida Gram 500 tunaita Nusu kilo na Gram 1000 tunaita Kilo moja, hiyo ni kwenye upande wa bidhaa za nafaka .

500Ml ni nusu Lita na 1000Ml ni 1lita.hiyo ni kwa upande wa vimiminika.

Sasa swali langu lipo kwa upande wa madini Kilo 1 ya madini inakuwa na gram ngapi?
 
Mkuu Conversation rate ya Kilo to gram ni constat haijalishi ni bidhaa gani..Ila kwenye Dhahabu kinachoongezeka ni term inayoitwa Karat ambayo ni measure ya purity ya gold.
Kimahesabu kupata thamani halisi ya kilo moja ya dhahabu lazima uzidishe na purity pia na bei ya dhahabu kwa uzito husika.
 
Ahsante mkuu, kidogo umenifungulia mwanga
 
Back
Top Bottom