Wataalamu wa kukopa bila kurefund

Wataalamu wa kukopa bila kurefund

Lol, umenikumbusha mbali, kuna mtu namdai mwaka wa tatu huu, na kila siku anazushia jambo! Kwa sasa nimekataa tamaa nimeamua kumuacha na kusamehe deni! Binadamu wengine sijui tumeumbwaje umbwaje?!

pole dah uzuri wake siku nyingine akiwa na shida hawezi tena kuja kwako kwa aibu,
 
Inakera pale mtu anapokuja na shida anakuomba hela with a promice ntakupa after three days afu anauchuna hasemi kitu after those days anakua anakupiga fix tu. Mbaya zaidi anakuzungusha mpaka unakata tamaa. kulipa deni kunakupunguzia aibu tukikopa tulipe

Haswaaaa, ukikopa lipa deni heshima inarudi maala pake. Kutoa ahadi feki, ambazo hauwezi kuzitekeleza ni kujidhalilisha kusiko na mpango. Kuna mtu nilimkopesha akasema atanirudishia baada ya miezi 3, lakini leo ni mwaka wa 3. Fix nyingi, uongo mwingi ila nimekomaa naye mpaka kieleweke.
 
kwa jinsi nilivyotendwa. sijui kama ntakujaga kumkopesha binadamu yeyote.
 
Haswaaaa, ukikopa lipa deni heshima inarudi maala pake. Kutoa ahadi feki, ambazo hauwezi kuzitekeleza ni kujidhalilisha kusiko na mpango. Kuna mtu nilimkopesha akasema atanirudishia baada ya miezi 3, lakini leo ni mwaka wa 3. Fix nyingi, uongo mwingi ila nimekomaa naye mpaka kieleweke.

tena akijakopa uso wote china, dawa ni kukomaa tu I guess me mwenyew kukopesha basiii hela yangu lakin utafikir me ndo nataka kopa
 
Haswaaaa, ukikopa lipa deni heshima inarudi maala pake. Kutoa ahadi feki, ambazo hauwezi kuzitekeleza ni kujidhalilisha kusiko na mpango. Kuna mtu nilimkopesha akasema atanirudishia baada ya miezi 3, lakini leo ni mwaka wa 3. Fix nyingi, uongo mwingi ila nimekomaa naye mpaka kieleweke.

tena akijakopa uso wote chini, dawa ni kukomaa tu I guess me mwenyew kukopesha basiii hela yangu lakin utafikir me ndo nataka kopa
 
HAHAAAA rudisha pesa ya watu lazy mate........

kuna watu wanoko kweli yaani, m-pesa yangu tokea jana iko DOWN, afu inshu za ATM card nilishazifungulia UZI humu, dah lazymate hebu okoa jahazi...

afu kuna MZINGA wa thread wa sijui AFTER LIFE ,lazymate msaada wako unahitajika
 
Hahaaaa lazymate niko hapa kukuokoa namtumia hiyo buku 10 yake na ya kutolea juu...ishu ile
ya ATM bado naikumbuka sana lazymate

hahaaaaaaaaaa ule MZINGA wa AFTRE LIFE sijathubutu hata kusoma Lazymate nilitaka kukuita

nikaogopa kutolea nduki sijarudi tena kule...........
 
Inakera pale mtu anapokuja na shida anakuomba hela with a promice ntakupa after three days afu anauchuna hasemi kitu after those days anakua anakupiga fix tu. Mbaya zaidi anakuzungusha mpaka unakata tamaa. kulipa deni kunakupunguzia aibu tukikopa tulipe

Mkuu kulipa madeni ni kipaji, sio kila mtu anaweza........
 
Hahaaaa lazymate niko hapa kukuokoa namtumia hiyo buku 10 yake na ya kutolea juu...ishu ile
ya ATM bado naikumbuka sana lazymate

hahaaaaaaaaaa ule MZINGA wa AFTRE LIFE sijathubutu hata kusoma Lazymate nilitaka kukuita

nikaogopa kutolea nduki sijarudi tena kule...........

hapo ndo napokupendea lazymate wangu,kama upo kwenye ubongo wangu...we Mtumie Buku kumi yake huyo Mnoko, mimi na wewe tutamalizana..
 
halafu hawa mabingwa wa kufungua miTHREAD mirefu wawe na ki jukwaa chao kasoro Mtambuzi ,huyu stori zake zinanoga
 
Last edited by a moderator:
siku ingine wakikukopa waambie watakulipa siku yoyote wakipata.
watakulipa siku usiyoitarajia
 
Back
Top Bottom