Mimi nijibie hiyo namba #2.
Posho hazikatwi kodi.
1. Anastahili kukatwaNinaomba msaada kwa yeyote anayeelewa anasaidie kuelewa yafuatayo:-
1. Mwajiriwa anastahili kukatwa Kodi yoyote au Michango ya Mfuko wa Jamii wakati was Probation Period?
2. Posho anayolipwa mwajiriwa mfano Extra duty allowance inastahili kukatwa Kodi?
3. Wafanyakazi wanaolipwa kwa Siku na kuondoka, wanatakiwa walipe kodi?
4. Mstaafu aliyepata Mkataba baada ya kulipwa Mafao take, anastahili kuendelea kukatwa mchango wa mifuko ya kijamii mfano NSSF?
Nitashukuru sana kama nitapatiwa majibu ya maswali haya maana yananisumbua sana.
Mimi nijibie hiyo namba #2.
Posho hazikatwi kodi.
Kwa mfano zile posho za walimu wakuu, wakuu wa shule na Maafisa elimu kata mbona hazikatwi kodi ilhali zinalipwa na serikali.Zinakatwa kodi
Mambo ya serikali usilinganishe na private.Kwa mfano zile posho za walimu wakuu, wakuu wa shule na Maafisa elimu kata mbona hazikatwi kodi ilhali zinalipwa na serikali.
Kimsingi hauna hoja(fact) yoyote inayotoa majibu ya wazi kwenye maelezo yako.Mambo ya serikali usilinganishe na private.
Tra akikutana na taasisi ya serikali ni tofauti akikutana na taasisi binafsi. Fanya uchunguzi.
Pamoja na kuwa sina hoja. Zitaje hizo posho wanazolipwa private.Kimsingi hauna hoja(fact) yoyote inayotoa majibu ya wazi kwenye maelezo yako.
Mimi nimejaribu kukupa mfano hai kiasi, lakini pia huku private zipo posho nyingi zinazotolewa na wala sijawahi ona wala kusikia zinakatwa kodi.
Kwa walimu kuna posho za overtime, mwl wa zamu, posho za madaraka, pango, lunch, usafi NkPamoja na kuwa sina hoja. Zitaje hizo posho wanazolipwa private.
Mkuu nakushukuru kwa kunitoa tongotongo.Nimejaribu kutafuta kifungu cha TRA kinachobainisha makato ya posho kwa private sector na si public sector. Na sababu yao ni nyepesi tu hela inayotoka hazina kuwalipa posho wafanyakaz wa umma haikatwi kodi.
Mimi uzuri nimetumikia pande zote mbili, nilipokuwa government sikuwa nakatwa posho but nilipoingia private wanafyeka kama kawaida kabisa mkuu.. Ni hayo tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndicho hiki nimeandika hapo juu taasisi binafsi na ya serikali ni tofauti katika treatment.Nimejaribu kutafuta kifungu cha TRA kinachobainisha makato ya posho kwa private sector na si public sector. Na sababu yao ni nyepesi tu hela inayotoka hazina kuwalipa posho wafanyakaz wa umma haikatwi kodi.
Mimi uzuri nimetumikia pande zote mbili, nilipokuwa government sikuwa nakatwa posho but nilipoingia private wanafyeka kama kawaida kabisa mkuu.. Ni hayo tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu,Nisaidie Kifungu kwenye Income Tax,Tax Regulations au sehemu yoyote ili niitumie kama reference.Ndicho hiki nimeandika hapo juu taasisi binafsi na ya serikali ni tofauti katika treatment.
Soma Income Tax Act S.12 (1-5)Mkuu,Nisaidie Kifungu kwenye Income Tax,Tax Regulations au sehemu yoyote ili niitumie kama reference.
Naomba sana.