pole mamii, naelewa ikoje kushindwa kumtoa. Among reasons ya kujitoa fb, mojawapo ni hyo. Sikuweza kuwa na classmates, siblings, wanakwaya, colleagues, majirani, etc.. Wote under one roof. Nikaona isiwe issue, Disable account. Ni muhimu sana uwe unachange password kila mara, atleast once in a month. The more sensitive and secure you need to be, then have a very strong pAs9sW0oRD. Huwezi jua ni computer ipi haukuverify signing out na mtu akatake advantage. Be careful!Endangerednatamani kumdelete ila nashindwa...ni jamaa yangu..password nimebadili leo kwa mara ya kwanza tokea nijiunge facebook..
pole mamii, naelewa ikoje kushindwa kumtoa. Among reasons ya kujitoa fb, mojawapo ni hyo. Sikuweza kuwa na classmates, siblings, wanakwaya, colleagues, majirani, etc.. Wote under one roof. Nikaona isiwe issue, Disable account. Ni muhimu sana uwe unachange password kila mara, atleast once in a month. The more sensitive and secure you need to be, then have a very strong pAs9sW0oRD. Huwezi jua ni computer ipi haukuverify signing out na mtu akatake advantage. Be careful!
Heshima zenu wakuu.
Wakuu kuna kitu kimetokea kwenye facebook account yangu ambacho sikielewi.
Yaani leo wakati nasign in nimeshangaakupata notification ikisema FULANI ACCEPTED YOUR FRIEND REQUEST wakati mimi sijawahi kumu ADD huyu mtu hata kwa makosa.Na tayari mimi na huyu fulani tumeshakua marafiki wa facebook.
Nimeshabadilisha password yangu ila bado nina hofu maana sielewi elewi kilichotokea..
Hakuna mtu anayejua password yangu..wala sijawahi kutumia computer ya mtu kuingia facebook..wala sijawahi kutumia public computer..
Naombeni mniambie nifanyaje na pia kama kuna anayejua kilichotokea anifafanulie maana marafiki zangu wote wa facebook ni watu tunaoheshimiana sana hivyo kama mtu anaweza ku ADD mtu bila ridhaa yangu naogopa asijepost au kuandika meseji za ajabu ajabu kwa rafiki zangu.
Natanguliza shukrani.
Kama njia zote walizosema wakuu juu hazikutumika, you might have been hacked in a more sophisticated way for example: hacking facebook with backtrack 5 or hacking facebook with IP address using backtrack 5. Pole.