Sawa Mdogo wangu Mi mwenyewe nilinunua October hiiWazeee,
Nime ambatanisha hapo juu screen shot nina kupa na hii nyingine ambayo nimepiga 13:00 na hapa naweka na risiti yake. Nilinunua tar 12 july 2019. Kama una jingine karibu View attachment 1423511View attachment 1423512
Watumiaji wa IPhone ina maana hawapo? Waswahili wajuaji sana basi utupiwe Uzi wa Itel au tecno wachangiaji full kuponda umeletwa wa simu kali chali.
Sent from my TECNO WX3 using Tapatalk
kama unataka original tuliza kichwa kuzitafiti za watu mpaka uzielewe vizuri.usisite kumuuliza mwenye iphone maswali machache na ikiwezekana akupe uishike uone inafananaje.ukiizoea na kuijua huingizwi mjini kirahisi.
mkuu,mtu unayemuelekeza haya hakikisha anajua android os,inakaaje kwenye kopo linalofanana na la apple.Kwa Technologia ya Marekani kutumia IOS kwenye simu zake imefanya wale macho kuvimba na wajinga wajinga wote kushindwa kucopy,wanaweza kucopy design lakini ni lazima watatumia indroid tu hakuna namna nyingine,Matatizo ya iPhone yapo kwenye kununua simu repear kwa kuambiwa ni new lkn sio kuuziwa simu fake
Sent using IPhone X
Miezi 8 betry percentage iwe 100% acha utapeli wa mitandaoni hivi hujaachaga utapeli??
Ndio inawezekana kabisa kwa matumizi mazuri ya simu za IPhonehealthy inaweza kushuka asilimia 3 tu kwa mwaka,na mwingine ikashuka hata asilimia 12 kwa miezi sita,mfano mimi naweza nikatumia simu mwaka mzima inashuka asilimia 1 tu,wale wazee wakutumia simu wakati amechomeka kwenye chaji ama kutumia chaji fake ndio wahanga wakubwa
Sent using IPhone X
Wazee kuna hizi chaji za iphone unakuta zina urefu wa mita 2,3 hadi 4 hivi hizi chaji ni original kweli?
Sent using Jamii Forums mobile app