Troll JF
Platinum Member
- Feb 6, 2015
- 9,318
- 13,759
Sawa Mdogo wangu Mi mwenyewe nilinunua October hiiWazeee,
Nime ambatanisha hapo juu screen shot nina kupa na hii nyingine ambayo nimepiga 13:00 na hapa naweka na risiti yake. Nilinunua tar 12 july 2019. Kama una jingine karibu View attachment 1423511View attachment 1423512
Matatizo hayo yapo sana hata kwenye simu zinazotumia indroid unlocked phones 
healthy inaweza kushuka asilimia 3 tu kwa mwaka,na mwingine ikashuka hata asilimia 12 kwa miezi sita,mfano mimi naweza nikatumia simu mwaka mzima inashuka asilimia 1 tu,wale wazee wakutumia simu wakati amechomeka kwenye chaji ama kutumia chaji fake ndio wahanga wakubwa