Wataalamu wa Ipad za Aple naombeni msaada wenu.

KIBURUDISHO

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2011
Posts
1,002
Reaction score
278
Heshima kwenu wakuu,natumai mko poa
Niko hapa kuwaomba msaada wa maelekezo wataalamu na wajuzi wa masuala ya ipad za aple.Iko hivi nimeletewa ipad mpya ya Aple sasa kila nikitaka kuinstall apllication kutoka aple store inaniletea ku-sign up kwa ajili ya kuanza kudownload na kuinstall apllcation,ninaanza kujaza aple id kuna sehemu nafika inaniletea nijaze namba ya simu nikiingiza namba ya simu inakataa inasema nijaze namba zisizopungua tarakimu 20 sasa nikifika hapo nakwama kuendelea,sasa naombeni msaada wa jinsi gani nitakavyoweza kuinstall app kwenye hii ipad yangu.
 
mh! Mm najua kuna sehemu ya kujaza visa au master card.. Not tembo card!
 
[h=2]Wataalamu wa Ipad za Aple?????? usiseme hivi tena utaonekana wa kuja.... only apple ndio wanatengeneza i pad & other I OS[/h]
 
Utandawazi huo!!
 
[h=2]Wataalamu wa Ipad za Aple?????? usiseme hivi tena utaonekana wa kuja.... only apple ndio wanatengeneza i pad & other I OS[/h]

Baada ya hilo msaada wako tafadhali
 
napita,

ila nami nilikuwa na swali kwa ipad za samsung,
 
Heshima kwenu wakuu,natumai mko poa
Niko hapa kuwaomba msaada wa maelekezo wataalamu na wajuzi wa masuala ya ipad za aple.Iko hivi nimeletewa ipad mpya ya Aple sasa kila nikitaka kuinstall apllication kutoka aple store inaniletea ku-sign up kwa ajili ya kuanza kudownload na kuinstall apllcation,ninaanza kujaza aple id kuna sehemu nafika inaniletea nijaze namba ya simu nikiingiza namba ya simu inakataa inasema nijaze namba zisizopungua tarakimu 20 sasa nikifika hapo nakwama kuendelea,sasa naombeni msaada wa jinsi gani nitakavyoweza kuinstall app kwenye hii ipad yangu.

When I first had my first apple device,early 2009, I encountered the same problem. hii inatokana na apple kutokuwa na dedicated app store kwa nchi zinazoendelea, hivyo kufanya namba unayoingiza kuwa invalid. A quick work around is to register with the indian apple app store(like I did in 2009), it is free and doesn't require a lot of information like credit/debit card. Apple is constantly improving to offer its app store offerings to developing nations.
 
mh! Mm najua kuna sehemu ya kujaza visa au master card.. Not tembo card!

unaniAngusha, hata tembo zipo visa na mastercard, maana mi natumia tembocard visa kununulia vitu online
 
Heshima kwenu wakuu,natumai mko poa
Niko hapa kuwaomba msaada wa maelekezo wataalamu na wajuzi wa masuala ya ipad za aple.Iko hivi nimeletewa ipad mpya ya Aple sasa kila nikitaka kuinstall apllication kutoka aple store inaniletea ku-sign up kwa ajili ya kuanza kudownload na kuinstall apllcation,ninaanza kujaza aple id kuna sehemu nafika inaniletea nijaze namba ya simu nikiingiza namba ya simu inakataa inasema nijaze namba zisizopungua tarakimu 20 sasa nikifika hapo nakwama kuendelea,sasa naombeni msaada wa jinsi gani nitakavyoweza kuinstall app kwenye hii ipad yangu.

Usikonde mkuu kupata ipad sio mwisho wa matumizi.
nenda quality plaza- (uchumi) kuna Duka la idigital kama uko Dar ukanunue voucher kuanzia 5us$ hadi 50 wana kugongwa 40thou za kitz kukupa address halafu unauziwa voucher ili uwezo kununua apps. Vinginevyo tumia emai ulioijaza icloud kupata apps za bure.

Voucher zinazouzwa ni hizi

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    134.9 KB · Views: 74
unaniAngusha, hata tembo zipo visa na mastercard, maana mi natumia tembocard visa kununulia vitu online

mkuu yangu hakuna sehemu ya NONE...inahtaji visa....na master nifanyaje ili nisiingize kadi yangu ya bank hapo???
2.kadi ya bank nikiingza inatik lakn kwenye security code nikiingiza namba za siri za atm inagoma...je hapo natakiwa kuingiza namba zipi????
ahsante
 
huwezi weka iyo password sababu ni kwa ajili ya atm tu, kadi yako kwa nyuma ina namba kwenye utepe hizo ndo unazitumia

creditcardback.jpg
 
shukran mkuu tabu imebaki hizo namba ishirini za simu
 
Back
Top Bottom