JOH CARLOS
JF-Expert Member
- May 13, 2016
- 583
- 272
ni mashine ya kukata lami ,naomba either engine ya robin EY 28 au honda 390 au engine yoyote ya diesel ya kufanya kazi hapa vyema
inaonekana unajua kila kitu. Kindly do the beat
Honda 390 ndio naikubali
Sipo darnina shida nayo sana kama unajua pahala naweza ipata ,nipo dsm