Wataalamu wa Hesabu hapa shida ni nini?

Mkuu, na wewe pia ni muongo squared.

6 ÷ 6 = 1 (siyo 2)
 
Mkuu,
Umeenda vema ila hapo bold naona ukaingia chaka tena.
 
Hakuna tofauti kati ya kumultiply kwanza namba za ndani kwa 2 halafu uzjjumlishe au ujumlishe kwanza ndo umultiply na 2.
Hio ni law ya algebra inaitwa distributive property.

And yes jibu ni 1
 

hiyo hesabu ya shule ya msingi ambayo hurudiwa form one kwa kiingereza Jibu ni 9
na ndio sababu nimeona wadau wakisema, huko primary hakuna msingi wa hesabu....
 
japo wachangiaji wote huko juu tumejikita kwenye kutafuta jibu sahihi. Ila Nafikiri Lengo la mtoa mada ni kutaka kujua shida ya izo devices ni nini mpaka zitoe majibu tofauti ya kihesabu kwa swali moja.

Mtoa mada nachokiona kwenye izo devices mbili kuna utofauti wa "programming language" za kihesabu ziliotumika kwenye izo devices, ndio maana zinatoa majibu tofauti kwa swali moja.

Iyo Simu na calculator yako inaonekana zimetumia mathematical programming language zenye utofauti kifogo. Shida ndipo hapo.

Tukirudi kwenye utofauti sa majibu, Kwa uzoefu wangu wa kihesabu nakubaliana na jibu la 1.
 
Hesabu inafuata kanuni na hapa tunafuata the standard order of operations aka PEMDAS kwahiyo parentheses must be resolved first then multiplication halafu division.

Wanaofuata formula nyingine wanaweza kufanya hivyo lakini hiyo sihihi kwamujibu wa order of operations.
 
Bodmas, jibu ni 1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…