zikiisha sana hata ukikanyaga brake unahisi mkwaruzo.....ila zikianza kuisha hio taa huwa inawaka as a warning...nashauri kazikague....bei inategemea na gari hizi za toyotas very cheap
Sensor ya ABS iko kwenye maeneo brake pad zilipo. Kama hiyo sensor imekufa taa huwaka pia. Mimi nina gari yangu funndi alidisturb ABS sensor wakati anabadili bearings. Taa inawaka toka mwaka juzi hadi leo. Sijawahi kupata shida yoyote.