poposindege
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 456
- 175
habari wadau
Nina blogu yangu nimeanzisha na nahitaji kuweka facebook comment.
Nimejaribu kusoma tutorial mbalimbali lakini nimechemsha. Mimi si mjuzi wa mambo ya code.
Nahitaji mjuzi wa hiyo kitu anisaidie.
Tafadhalini hapa ndo kimbilio la matatizo yetu.
naombeni msaada wenu