Wataalam wa ujenzi na ramani msaada tutani

Wataalam wa ujenzi na ramani msaada tutani

Chibike

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2024
Posts
4,896
Reaction score
7,522
Wataalam,

Jengo ambo liko kwenye kiwanja chenye ukubwa wa skweamita 145 unaweza ku modify kwa kuweka frame ngapi zikatosha? Kwa ukubwa size medium Yan vyumba visiwe vikubwa sana Wala vidogo sana..
 
Toa maelezo Zaidi
Kiwanja kimekaaje?Eneo Linapozama Barabara ni meta ngapi?
Kiwanja kipo Eneo lenye uchangamfu wa Biashara Kiasi gani?Frame za Majirani zina Ukubwa gani??Barabara ni Pana Kiasi gani?Haya ndiyo yatakusaidia kuamua Ukubwa wa Vyumba.Hata hivyo Kariakoo size zipo Hadi 7.5sqm,10sqm,15sqm na Kuendelea.Kuna Maeneo Hadi 6sqm zipo.
 
Back
Top Bottom