Wataalam wa Uchumi tuambieni: Hali hii ni Recession au Austerity?

Mkuu,haujakula kashavu hata cha mchumi msaidizi hapo BOT?,basi kama upo free hauna kazi ngoja nikuajiri uwe hata mwalimu wa uchumi kwenye shule yangu
Haya maelezo yanafaa sana kupewa Airtime kwa channel zetu hapa mjini .ukisoma tu hapo unajua kabisa saizi tupo wapi.Asante sana Mchumi wetu wa siku
 
Uchumi una agents watano ambao wanatakiwa wacheze karata zao vizuri tena kwa kusomana ili uchumi usimame. Hao "watu" wakiwa hawasomani, hesabu uchumi huo "umekufa".
1. Central Bank,
2. Government,
3. Commercial Banks/Financial Intermediaries;
4. Non Bank Private entities(kama wewe hivyo) na
5. Foreign agents.
Kwa pamoja hawa wanatumia instruments zifuatazo kufanya uchumi usonge
1. Deposits and Lending kuongeza uwekezaji
2. Open Market operations (to action government bonds) to regulate capital inflows and outflows by using interest rates;
3. Government spendind to foster/create consumer confidence
4. Government taxes (kama hapo juu)
5. Exchange rates policy to increase exports and/or reduce imports.

Sasa recession utaijuaje?
1. How people consume goods and services? Hii ndiyo itafanya private sectors kuchukua mikopo benki na kuzalisha

2. How private entities make deposits? Hii itaongeza uwezo wa mabenki kutoa mikopo ya riba nafuu kwa wateja.

3. How bond market is strong and how the country's financial integration position with the rest of the world? Hii itaonyesha uwezo wa nchi kuvutia au kutorosha mtaji ikiwa pamoja na ku-balance mzunguko wa fedha.

4. What's the percentage of government collection is given back to the society thru government spending? Itaenda kuongeza uwezo wa kununua wa wananchi na hivyo kuongeza uzalishaji na hatimaye kuleta uimara katika tax collection.

5. How fair and high the tax level is? Hii pia inachochea kiwango cha disposable income ambayo itatumika katika kufanya manunuzi na hatimaye kuongeza uzalishaji wa viwandani na hatimaye kuongeza ajira.
6. How high the interest rates are? Hapa ni depisits interest rates, lending rates and interest rates paid by bonds. Hii itaonyesha namna ya watu watakavyo-trade off kati ya kufanya depisits bank, au kutoa mapesa yao kuyaweka katika bonds(foreign and domestic) au kuwekeza/kutowekeza.

Narudia. Ustawi wa uchumi wa nchi unategemea namna hao "watu" waliotajwa hapo juu watakavyosomana. Wakishindwa kusomana basi tegemea majanga kwenye uchumi. Ni jukumu lako kujua hao watu kwa hapa kwetu wanasomana?

Nimalizie kwa angalizo moja. Wachumi wanakubaliana kwamba, industrial economy is an expansionary economy NOT contractionary economy. Kwani expansionary economy ndio wenye lengo la kuongeza mikopo, uzalishaji, matumizi na ajira. Ukiona nchi inasema inataka kuongeza uzalishaji halafu inatumia contractionary policy au austerity measures katika kuendesha nchi, simply hiyo nchi itakuwa inajiongopea mwenyewe, kwani investors hawatakuwa tayari kuzalisha wakijua kuwa watakachokizalisha hakitapata wateja kutokana na kupungua kwa mzunguko wa fedha. Kwa mbali utakuwa umenisoma ndugu Jidula.
Mkuu umemaliza kila kitu,,,
 
Ulioimarika ni Macro economic na sio Micro
Macro ni uchumu mwembamba unaohusu serikali na Micro ni uchumi mpana-Uchumi wa wananchi, kampuni na asasi mbalimbali.
The difference between micro and macro economics is simple. Microeconomics is the study of economics at an individual, group or company level. Macroeconomics, on the other hand, is the study of a national economy as a whole. Microeconomics focuses on issues that affect individuals and companies.
Ni vizuri ukajenga tabia ya kujifunza na sio kuandika tu ili mradi wakati hauna taarifa sahihi au hauna Elimu ya kutosha ya mada husika.

Mbona umemtaja Mzee wa Buguruni hana msaada wowote labda Professor Enerst Ngowi ndo jembe kuhusu mdororo bado hatujafika huko uchumi umeimarika.
 
Ulioimarika ni Macro economic na sio Micro
Macro ni uchumu mwembamba unaohusu serikali na Micro ni uchumi mpana-Uchumi wa wananchi, kampuni na asasi mbalimbali.
The difference between micro and macro economics is simple. Microeconomics is the study of economics at an individual, group or company level. Macroeconomics, on the other hand, is the study of a national economy as a whole. Microeconomics focuses on issues that affect individuals and companies.
Ni vizuri ukajenga tabia ya kujifunza na sio kuandika tu ili mradi wakati hauna taarifa sahihi au hauna Elimu ya kutosha ya mada husika.
Umejichanganya hapo kwenye Maelezo ya Kiswahili na Elimu yako ya Google nikutaarifu tuu nimesoma EGM na Nimesoma BAF hivyo unavyovisema ni vitu vidogo sana kwangu. Macro Economics unaongelea
Money Supply
Goverment spending
Level of Taxes
Inflation
Unemployment etc

Micro hii inaongelea individual parts of Economy na hua haithiri National level
 
Uchumi una agents watano ambao wanatakiwa wacheze karata zao vizuri tena kwa kusomana ili uchumi usimame. Hao "watu" wakiwa hawasomani, hesabu uchumi huo "umekufa".
1. Central Bank,
2. Government,
3. Commercial Banks/Financial Intermediaries;
4. Non Bank Private entities(kama wewe hivyo) na
5. Foreign agents.
Kwa pamoja hawa wanatumia instruments zifuatazo kufanya uchumi usonge
1. Deposits and Lending kuongeza uwekezaji
2. Open Market operations (to action government bonds) to regulate capital inflows and outflows by using interest rates;
3. Government spendind to foster/create consumer confidence
4. Government taxes (kama hapo juu)
5. Exchange rates policy to increase exports and/or reduce imports.

Sasa recession utaijuaje?
1. How people consume goods and services? Hii ndiyo itafanya private sectors kuchukua mikopo benki na kuzalisha

2. How private entities make deposits? Hii itaongeza uwezo wa mabenki kutoa mikopo ya riba nafuu kwa wateja.

3. How bond market is strong and how the country's financial integration position with the rest of the world? Hii itaonyesha uwezo wa nchi kuvutia au kutorosha mtaji ikiwa pamoja na ku-balance mzunguko wa fedha.

4. What's the percentage of government collection is given back to the society thru government spending? Itaenda kuongeza uwezo wa kununua wa wananchi na hivyo kuongeza uzalishaji na hatimaye kuleta uimara katika tax collection.

5. How fair and high the tax level is? Hii pia inachochea kiwango cha disposable income ambayo itatumika katika kufanya manunuzi na hatimaye kuongeza uzalishaji wa viwandani na hatimaye kuongeza ajira.
6. How high the interest rates are? Hapa ni depisits interest rates, lending rates and interest rates paid by bonds. Hii itaonyesha namna ya watu watakavyo-trade off kati ya kufanya depisits bank, au kutoa mapesa yao kuyaweka katika bonds(foreign and domestic) au kuwekeza/kutowekeza.

Narudia. Ustawi wa uchumi wa nchi unategemea namna hao "watu" waliotajwa hapo juu watakavyosomana. Wakishindwa kusomana basi tegemea majanga kwenye uchumi. Ni jukumu lako kujua hao watu kwa hapa kwetu wanasomana?

Nimalizie kwa angalizo moja. Wachumi wanakubaliana kwamba, industrial economy is an expansionary economy NOT contractionary economy. Kwani expansionary economy ndio wenye lengo la kuongeza mikopo, uzalishaji, matumizi na ajira. Ukiona nchi inasema inataka kuongeza uzalishaji halafu inatumia contractionary policy au austerity measures katika kuendesha nchi, simply hiyo nchi itakuwa inajiongopea mwenyewe, kwani investors hawatakuwa tayari kuzalisha wakijua kuwa watakachokizalisha hakitapata wateja kutokana na kupungua kwa mzunguko wa fedha. Kwa mbali utakuwa umenisoma ndugu Jidula.
Good analysis and Big up!
 
Ulioimarika ni Macro economic na sio Micro
Macro ni uchumu mwembamba unaohusu serikali na Micro ni uchumi mpana-Uchumi wa wananchi, kampuni na asasi mbalimbali.
The difference between micro and macro economics is simple. Microeconomics is the study of economics at an individual, group or company level. Macroeconomics, on the other hand, is the study of a national economy as a whole. Microeconomics focuses on issues that affect individuals and companies.
Ni vizuri ukajenga tabia ya kujifunza na sio kuandika tu ili mradi wakati hauna taarifa sahihi au hauna Elimu ya kutosha ya mada husika.
Wewe utakuwa first year wa BBA Marketing!
 
Tuna wataalam wengi sana wa uchumi, watu kama Prof Haruna Lipumba, Prof Mbilinyi , watu wa siku nyingi katika ku analyse uchumi na trend ya tunakoelekea.

Mi nimechanganyikiwa na hali hii, je tunaingia hali ya mdororo kiuchumi au ni kubana matumizi tu?

Sioni mwanga, nataka kukopa kibiashara benki hazitoi mikopo, na nikikopa nitalipa kweli ?
Hali si nzuri, nipeni mwanga!
Vipi Jidu? Masopyakindi atakusaidia kwa hili.

Wataalamu wa awamu ya tano wanaita hali hii ya uchumi ni ukuaji wa uchumi kwa mwendokasi.

Ama tukaoelekea ni kwenye uchumi wa viwanda na hasa viwanda vya gongo.

Kwa nini umechanganyikiwa ndugu? Wewe hupendi maisha ya "kimalaika"?

CCM ni ile ile. Kazi yao ni kuwagawia wadanganyika umasikini. Zama hizi ni kugawa umasikini kwa mwendo kasi.

Masopyakindi kuja hapa, bandugu anataka kupewa mwanga wa hali ya uchumi.
 
nacho fahamu mimi tulicho nacho sasa kwenye uchumi wa nchi yetu ni kile kinachoitwa serikali kuamua kutumia sera ya contractionary policy yenye malengo ya serikali kuamua kupunguza matumizi yake ya kununua kupitia fedha ilizo kusanya yaani kodi ambayo hii hupelekea sekta binafsi kudumaa kwakua serikali ndiyo mnunuzi mkuu na akiacha kununua maana yake ni kuwa fedha hazitakuwepo kwenye mzunguko na kufanya uzalishaji kupungua , baada ya hatua hii kufanya kazi sawasawa huangukia kwenye sera ya Fiscal policy ambapo serikali huamua kutumia sera ya contractionary policy kwa kuongeza kodi na kupunguza vilevile matumizi ya serikali kwa malengo ya to siphon money out of private sector in hopes of slowing down unsustainable production or lowering asset price.
Kwamba unaweza kwa maksudi kuacha kumwagilia bustani kwa lengo la kupunguza mazao ili kuongeza uhitaji na kupandisha bei ya mazao ya bustani? Lqbda kama hufahamu kuwa maji ndiyo factor muhimu kwa mavuno mazuri ya bustani.
Kiachotokea katika uchumi wa TZ ni bahati mbaya ya maamuzi mabovu yaliyojaa upofu wa namna ya utendaji kazi wa parameters muhimu kama supply and demand pamoja na money velocity namna ambavyo vinaweza kiathiriwa na maamuxi mabovu ya wanasiasa.
Huwezi kutengeneza contractions kwenye private sector ambayo ndiyo bustani inakochumwa kodi ukijidanganya kuwa unaimarisha uchumi
 
Hiyo policy ya kiuchumi ya ajabu kabisa. Mabenki yamesitisha mikopo kwa wqtumishi wa umma kwa kuwa kuna zoezi la kuhakiki watumishi.
Madhara yake bado kuna watu wanayatupia kwenye kiitwacho contraction policy
Matatixo ya kukosa kasi ya mzunguko wa pesa yametokana kwa kiasi kikubwa na kukurupuka kuliko kuwa ni mafanikio ya kisera
Hebu tuache kuzungzia uchumi wa vitabu tuangalie hali halisi ya uchumi micro level namna unavyo escalate matatizo hata kwenye macro level na namna ambavyo taifa limejikuta njia panda. Na namna ya kutoka hapa salama sio issue ya taasisi moja au sera moja bali ni kuwafanya watz waelewe tatzio na wasisite kutumia fedha waliyonayo hata kama ni kidogo ili tuendelee na exchange
Huko vijijini hali ni mbaya zaidi na tunakoelekea kila mtu qtatumia kile alichovuna au watabadolishama mahimdi kwa chumvi.
Too bad
 
Uchumi una agents watano ambao wanatakiwa wacheze karata zao vizuri tena kwa kusomana ili uchumi usimame. Hao "watu" wakiwa hawasomani, hesabu uchumi huo "umekufa".
1. Central Bank,
2. Government,
3. Commercial Banks/Financial Intermediaries;
4. Non Bank Private entities(kama wewe hivyo) na
5. Foreign agents.
Kwa pamoja hawa wanatumia instruments zifuatazo kufanya uchumi usonge
1. Deposits and Lending kuongeza uwekezaji
2. Open Market operations (to action government bonds) to regulate capital inflows and outflows by using interest rates;
3. Government spendind to foster/create consumer confidence
4. Government taxes (kama hapo juu)
5. Exchange rates policy to increase exports and/or reduce imports.

Sasa recession utaijuaje?
1. How people consume goods and services? Hii ndiyo itafanya private sectors kuchukua mikopo benki na kuzalisha

2. How private entities make deposits? Hii itaongeza uwezo wa mabenki kutoa mikopo ya riba nafuu kwa wateja.

3. How bond market is strong and how the country's financial integration position with the rest of the world? Hii itaonyesha uwezo wa nchi kuvutia au kutorosha mtaji ikiwa pamoja na ku-balance mzunguko wa fedha.

4. What's the percentage of government collection is given back to the society thru government spending? Itaenda kuongeza uwezo wa kununua wa wananchi na hivyo kuongeza uzalishaji na hatimaye kuleta uimara katika tax collection.

5. How fair and high the tax level is? Hii pia inachochea kiwango cha disposable income ambayo itatumika katika kufanya manunuzi na hatimaye kuongeza uzalishaji wa viwandani na hatimaye kuongeza ajira.
6. How high the interest rates are? Hapa ni depisits interest rates, lending rates and interest rates paid by bonds. Hii itaonyesha namna ya watu watakavyo-trade off kati ya kufanya depisits bank, au kutoa mapesa yao kuyaweka katika bonds(foreign and domestic) au kuwekeza/kutowekeza.

Narudia. Ustawi wa uchumi wa nchi unategemea namna hao "watu" waliotajwa hapo juu watakavyosomana. Wakishindwa kusomana basi tegemea majanga kwenye uchumi. Ni jukumu lako kujua hao watu kwa hapa kwetu wanasomana?

Nimalizie kwa angalizo moja. Wachumi wanakubaliana kwamba, industrial economy is an expansionary economy NOT contractionary economy. Kwani expansionary economy ndio wenye lengo la kuongeza mikopo, uzalishaji, matumizi na ajira. Ukiona nchi inasema inataka kuongeza uzalishaji halafu inatumia contractionary policy au austerity measures katika kuendesha nchi, simply hiyo nchi itakuwa inajiongopea mwenyewe, kwani investors hawatakuwa tayari kuzalisha wakijua kuwa watakachokizalisha hakitapata wateja kutokana na kupungua kwa mzunguko wa fedha. Kwa mbali utakuwa umenisoma ndugu Jidula.
Mada hii ni murua kabisa lakini mchango huu wa Mipangomingi umeelezea hali halisi tuiomo.

Uchumi wa nchi lazime udhibitiwe kiutendaji na kiutekelezaji na kupata inputs kutoka sekta zote.

Siku zijazo tutagundua kuwa pamoja na serikali kuwa mhimili muhimu katika uchumi, lakinimihimili mingine kama sekta ya fedha, sekta binafsi, kilimo etc vikipuuzwa hata mhimili mkuu, serikali hsiwezi kuhimili vishindo vya kuanguka uchumi.
 
Vipi Jidu? Masopyakindi atakusaidia kwa hili.

Wataalamu wa awamu ya tano wanaita hali hii ya uchumi ni ukuaji wa uchumi kwa mwendokasi.

Ama tukaoelekea ni kwenye uchumi wa viwanda na hasa viwanda vya gongo.

Kwa nini umechanganyikiwa ndugu? Wewe hupendi maisha ya "kimalaika"?

CCM ni ile ile. Kazi yao ni kuwagawia wadanganyika umasikini. Zama hizi ni kugawa umasikini kwa mwendo kasi.

Masopyakindi kuja hapa, bandugu anataka kupewa mwanga wa hali ya uchumi.
Mkuu, huko Mchambawima Maalim hajambo?
 
Tuna wataalam wengi sana wa uchumi, watu kama Prof Haruna Lipumba, Prof Mbilinyi , watu wa siku nyingi katika ku analyse uchumi na trend ya tunakoelekea.

Mi nimechanganyikiwa na hali hii, je tunaingia hali ya mdororo kiuchumi au ni kubana matumizi tu?

Sioni mwanga, nataka kukopa kibiashara benki hazitoi mikopo, na nikikopa nitalipa kweli ?
Hali si nzuri, nipeni mwanga!

Inflation= Deflationary Recession + = Depression. Sijui tuko wapi Dira itatuambia ila pia
Wacha watuambie?
 
NGOJA NIWAAMBIE UCHUMI WA TANZANIA TATIZO LETU NI HAKUNA MCHUMI ALIYE TAKA KUTOA USHAURI JINSI YA KUIMARISHA SHILINGI KUWA UKIIPATA IKAE MKONONI SHILINGI YETU INATABIA KAMA KIBAKA WA KIGOMA ANAEYEKUJA KUKUIBIA HUKU AMEPAKA MAFUTA YA MAWESE UKITAKA KUMKAMATA ANAVUA SHATI ANAKIMBIA KWENDA KONGO UKITAKA KUMSHIKA ANATELEZA KWAAJILI YA MAFUTA YA MAWESE ! HII SHILINGI IIMARISHWE HATA MUIAMBUKIZE UPELE WA DOLA IWE SHILINGI MIA TANO SAWA NA DOLA MOJA
 
Sifa za kinafki za wazungu hatutaki ukiona hivyo wazungu nao wameminywa hawadokoi tena hapa duu, halafu unasema "matumizi ya serikali yamezidi hata wanakwapua fedha za rambirambi " hapo mkuu ngoja waje wakutafute uthibitishe kwa kamanda Sirro

Mkuu tafadhali usinitafutie matatizo, mimi sijasema chochote, nimecheka tu. Aliyesema hivyo ni jabulani
 
Back
Top Bottom