Chimemena
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 1,376
- 452
Laptop yangu inanisumbua kidogo na nimeshindwa kupata suluhisho mpaka sasa naombeni msaada wenu Wataalamu wa Technology, Gadgets & Science (kama nitakvyoeleza hapo chini na kauambatanisha picha).
Mimi sio mtaalam sana kwa program za COMPUTER ila jana nilichomeka flash ili niweze kuhamisha baadhi ya nyaraka toka kwenye Laptop lakini ikagoma kusoma, nilipoilazimisha sana nikajikuta nimebofya sehemu bila kutarajia matokeo yake baadhi ya FILE, DOCUMENT na PROGRAM zikabadilika toka hali yake ya kwenda MS OFFICE WORD 2007 (tazama picha) sasa sijui ile flash ilikuwa na virus am laa.
Kila nikiwasha LAPTOP na kufungua file ama program husika linajifungua na namna ya Ms Office Word 2007 na sioni chochote toka kwenye file husika tofauti na zamani.
Wataalam naombeni msaada wenu katika tatizo hili ili laptop iwe inafunguka kama zamani tofauti na inavyofanya sasa.
Natanguliza shukrani.