WATAALAM WA SONY XPERIA msaada hapa tafadhari

WATAALAM WA SONY XPERIA msaada hapa tafadhari

NICOLAX

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2014
Posts
250
Reaction score
138
Habarini wakuu wa hapa jukwaa, poleni na majukumu ya kila siku ya kusukuma gurudumu la taifa
Wakuu nina muda wa mwezi mmoja tangu niamie kwenye huu ulimwengu wa android, wiki yangu ni SONY ERICSSON XPERIA X8 e15a,
Tatizo la hii simu yangu ni kwamba nashindwa ku access baadhi ya APPS hasa zile za messengers mf. WHATSAPP,NIINGIZE, VIBER n.k. Kuna APPS zingine kama whatsapp naweza kudownloal kutoka source tofauti tofauti lakin simu haitaki kuINSTALL
kama unavyojua hii simu yangu sana chaguo tofauti na MARKET kwenye masuala ya APPS
Kwa yeyote mwenye maujuzi basi naomba kakaako kwani napata ufinyu wa APPS na pia nashindwa kuENJOY ulimwengu wa android
Nawasilisha

.made in mby city.
 
Nilikuwa na Sony Ericson Xperia, ilikubali kuweka apps karibu zote muhim except instagram .
Baadae nikaja gundua kuwa ni android version yake ilikuwa low nikaishit
 
kama uwezo wetu ni wachini unaweza update android yako kwa stock itakuwa android 2.1.1 ila custom itakuwa android 2.3 - 3.9 na kuupadte kwa stock unaweza ukaflash rom au ukaupdate kupitia seus yaan ()sony Ericsson update services)
 
hakuna android ya simu zaidi ya 2.3 mpaka 4.0 na pia akiileta 2.3 kwa specs za hii simu sidhani hata kama setting itafungua
 
hakuna android ya simu zaidi ya 2.3 mpaka 4.0 na pia akiileta 2.3 kwa specs za hii simu sidhani hata kama setting itafungua

maelezo yangu yanasema custom rom ndio ipo 3.9 na sio stock rom na stock nimemwambia 2.1.1 ndio latest
 
nikwel ndogo ila developers wametest iko poa rom zinafanya kazi fresh
 
Ahsante wakuu Chief-Mkwawa & khalfan
Kwa kuongezea maelezo kidogo juu ya hii simu yangu
(Sony ericsson xperia x8)
(Model number E15a)
(firmware version 1.6)
(kernel version 2.6.29){SEMCUser@SEMCHost #1 }
(build number 1.3.A.0.50)

Kutokana na hayo machache nawaomba wakuu wangu mnisaidie steps za kufuata kuUPDATE au kuFLASH ROM
Natanguliza shukrani

.made in mby city.
 
dunia haiwezi simama kwa ajili simu yako haitaki kuintall wasapu, zama mfukoni, kata rubber band jitwalie ya ukweeee.
 
Back
Top Bottom