Wataalam wa namba....

Kwanini usijumlishe 98 na shilingi 2 alizowalipa baba na mama yake ili upate 100? njia uliofanya hapo juu haiendani na kanuni za hesabu

Mbona jibu nilitoa kitambo wajemeni?? Naona ze ppo karudia nilichokuwa nimekisema mm, bt c mbaya hilo ndio jibu!

Habari ya Jumapili wapendwa Miss Judith alishatoa jibu zamani cku njem

Hapo nimekusoma mkuu!

Alitoa jibu gani?

Hii hapa chini

Jibu lipo simple, alitoa Mis Judith toka mwanzo:

50+50=100
1 (alimrudishia baba) na 1 (alimrudishia mama)=2
Alinunua vitu vya 97 na akaweka 1 mfukoni bila kupewa na wazee =98
98+2=100
Huyo mtoto alibaki na Sh 1 ya nini? aliambiwa achukue sh 1? kwa hiyo vitu alinunua ni Sh 97+1 (98) sababu na yenyewe ipo katika zile 50 za baba na 50 za mama. Watoto kama hawa wananikera, wanajifanya wajanjaaaaa, natamani kurudisha fimbo darasani!

Ha ha ha fimbo tena haya siku njema

.......qed!

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…