Nguva Jike
JF-Expert Member
- Jan 22, 2018
- 853
- 1,005
Habari za jioni.
Kuna suala linanitatiza hapa kazini. Jambo lipo hivi.
Mtumishi X alihamia kutoka wilaya A kwenda wilaya B kwa ridhaa yake mwenyewe.Mtumishi huyo X kutokana na mabadiliko ya kimipaka akajikuta amerudishwa wilaya A sehemu ambayo alihama.
Je, hii imekaaje kiutawala na masuala ya utumishi naomba nipanguseni matongotongo.