Wataalam wa MAONO: Hali ya Mtanzania itakuwaje siku watuhumiwa wa ufisadi wakibalance CCM na CHADEMA?

mitale na midimu

JF-Expert Member
Aug 26, 2015
10,420
17,701
Nawaza, najaribu kuwaza huku nikijitenga kabisa na ufisadi ktk level za kitaifa maana nimeamua kudeal na ule wa ngazi ya familia na mtaa maana unanigusa haraka na madhara yake ni haraka zaidi.

najaribu kufuatilia huu mtanange wa wanaosadikiwa kuwa watuhumiwa wa Ufisadi wa kitaifa wakibadilishana jezi huku mashabiki wakibadili aina za santuri katika kusifu na kuabudu v/s kuponda na kutuhumiana.
Najiuliza wataalamu wa kuona mambo ya kisiasa kwa kina, Hali ya mtanzania itakuwaje siku kukiwa na 50/50 ya watuhumiwa wa ufisadi katika vyama hivi viwili?

Mimi kama mwananchi mtaani ambae nimeamua kukubwisha siasa za nyumba kumikumi na siasa za familia na kudogosha siasa za Kibunge na kitaifa hali yangu itakuwaje katika njia panda hiyo?
 
unaongelea wale wa MV Dar es salaam na nyumba za serikali pamoja na kuvunja mikataba ambayo inatufanya tulipe fidia kubwa mpaka ndege ikakamatwa?
 
Reactions: BAK
Kiukweli watanzania tutakuwa na wakati mgumu sana.....Mfano mdogo tu leo Msigwa na Nyalandu wako timu moja.... baada ya kununuana kwenye utawala wa Kikwete.

Tuombe Mungu kizaliwe chama kingine cha upinzani mbadala wa Chadema....iliyoacha kukemea ufisadi hadi kutetea ufisadi na mafisadi.
 
mramba na daniel yona bado wanachama wa ccm

Dc wa arumeru kapandishwa cheo kwa kufanikiwa kutoa rushwa

jerry murro msemaji wa ccm aliwahi kukamatwa na rushwa akapelekwa mahakamani,sasa ndio kipenzi cha wana ccm
 
Reactions: BAK
Kwa kuwa hiyo haiko mbali sana,itabidi wananchi tupeleke mswada wa dharula bungeni kusitisha kampeni..muda ukifika ni kuchagua tu kwanza vyama vyetu havina vision wala mission,ni mahaba tu.
 
kuna mmoja alikuwa anawaomba magari watuhumiwa wa madawa ya kulevya,wakimnyima anawaweka rumande
 
Id yako inatosha kabisa kukuelezea akili yako ilivyo... kinembe
hahaha...
akili ya team kusifu na kuabudu...
anaogelea kwenye bwawa la sumu ya kufisha haraka (tena mabomba ya taka sumu yameelekezewa humo) huku akifundisha watu jinsi ya kuepuka kuogelea maji yenye wadudu wa kusababisha kichocho.
 

Wala usitie shaka kwakua CCM ya mafisadi iliamua kutokufa basi sasa vyama vimebaki na kila anayeongoza ndiyo ishara ya wale wanaofanana ku assemble nyuma yake...Kwa sasa tunakaribia ku balance mafisadi wanajulikana upande wao sasa na wale wanaoamini katika utaifa alama na kiongozi wao anajulikana....Hapo soon tutaheshimiana tu...Its now clear than before who stands for what...Hakuna deals tena, hakuna faida binafsi so tutachujika tu na wale ambao bado hawajagundua wako kwenye wrong places watajichekecha as we go on...The architect is just watching from a far how the command is silently followed...
 

Do you believe in prophesy?

We are the architect and we know where we are heading just have your cool!

This is called never seen before, we change the course and the sad story is, we are here to stay until all knees bow and their associated tongues confess that He is Lord author of creation, master of all, mighty, omniscient, I am who Iam!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…