Wataalam wa Magari naomba msaada wenu.

Lovery

JF-Expert Member
Aug 15, 2014
1,354
2,000
Nina Nissan serena auto, leo nimegundua ninapoiwasha Gari feni ya kwenye (radiator) hazizunguki zote mbili, naomba kufahamu hii ni kawaida au kuna namna zinavyoweza kuanza kufanya kazi automatically zenyewe baada ya muda flani? NB mimi sio mtaalam wa magari hivyo hata kabla sikujua kama zilikuwa zinafanya kazi kwa mfumo upi.

Msaada wenu wakuu.
 
kinandinandi

Senior Member
Apr 3, 2015
182
250
Ni kawaida zinaanza kufanya automatic baada ya kuhisi joto limeongezeka liwashe subili dakika 15 utaona imeanza kuzunguka
 
Lovery

JF-Expert Member
Aug 15, 2014
1,354
2,000
Ni kawaida zinaanza kufanya automatic baada ya kuhisi joto limeongezeka liwashe subili dakika 15 utaona imeanza kuzunguka
Asante sana mkuu ngoja nijaribu maana nimeshindwa hata kutoka naogopa nisijekuharibu mambo.
 
LEGE

JF-Expert Member
Oct 14, 2011
5,101
2,000
Nina Nissan serena auto, leo nimegundua ninapoiwasha Gari feni ya kwenye (radiator) hazizunguki zote mbili, naomba kufahamu hii ni kawaida au kuna namna zinavyoweza kuanza kufanya kazi automatically zenyewe baada ya muda flani? NB mimi sio mtaalam wa magari hivyo hata kabla sikujua kama zilikuwa zinafanya kazi kwa mfumo upi.

Msaada wenu wakuu.
mkuu hiyo ni kawaida yake lkn ili kujiridhisha fanya hivi washa gari harafu washa AC hapo lazima feni zote mbili zizunguke kama hazizunguki basi kuna shida mahala. au kama gari haina AC basi iwashe harafu ipige lesi au subilia mpaka mshale wa gauge ya temperature ufike kwenye nusu juu kidogo lazima fen zifungue kama hazifungui kuna shida.au kma utaeza chomoa switch ya THW huwa inakuwa karibu kabisa na hose ya maji inayotoka kwenye rejeta huwa inakuwa na rangi ya blue
 
Asante mkuu nitakupa mrejesho
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom