Wataalam wa kuflash simu naombeni msaada

Joined
Oct 26, 2012
Posts
93
Reaction score
22
Nina tecno p3 ila kwa bahati mbaya kuna mtu alijaribu kuunlock simu ikajilock,nimejaribu kireset kwa kutumia utaratibu wa kawaida wa kuhold button ya kuzima na kuongeza sauti ili nireset but imegoma.

Naomba msaada kwa mtu anayejua jinsi ya kuflash kwa kutumia kompyuta anisaidie
 
sasa rafiki hiyo ndio njia kuu ninayoifahamu. kwani umereset ikakataa au inakataa kureset?
 
Kuna program inaitwa AIO flasher ambayo ni universal flasher. Hivyo lazima uwe na files zinazohitajika kuflash simu yako. kwa mtu aliyeinstall recovery anaweza kubackup rom yake ya p3 kisha ukaflshia p3 yako. Nilifanya hivi nikafanikiwa.
 
Dadavua vizuri kidogo hapo AIO flasher na km itawezekana
Weka link yake uweze kudonwlod
Itakua rahic zaidi
 
Nina tecno p3 ila kwa bahati mbaya kuna mtu alijaribu kuunlock simu ikajilock,nimejaribu kireset kwa kutumia utaratibu wa kawaida wa kuhold button ya kuzima na kuongeza sauti ili nireset but imegoma.

Naomba msaada kwa mtu anayejua jinsi ya kuflash kwa kutumia kompyuta anisaidie

Most of mtk devices km tecno huwa inakuwa rahisi kuiflash kwa kutumia sp flash tools lkn untkiwa kuwa na scatter file ya hyo tecno p3. Na jinsi ya kuipata tafta simu km hyohyo ifanyie backup thn copy hyo backup kwenda kwny pc yko hlf kwa sababu unahitaji kuirudisha kawaida lzm u flash system.img boot.img na recovery.img ambzo zote utazipata kwnye hyo backup ila wkti wa kuiflashi zima simu yko toa betri hlf urudishe connect usb cable kutoka kwny simu kwnda kwny pc ikiwaaa hvyhvyo off
 
Back
Top Bottom