Wataalam wa IT: naomba msaada wa ku-bypAss iPhone5

Damy Scotty

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
717
Reaction score
454
Nna ndugu yang ana iPhone5 ya dark market akiiwasha inamdai email na password, amehangaika nayo sana bila mafanikio mwenye kujua anisaidie wakuu! naamin humu kuna wataalam wa kila aina

Natanguliza unyenyekevu wa hali ya juu!

Sent from my iPhone4 using JamiiForums
 
Hiyo bila shaka ni ya wizi!! Tafadhali sana mrudishie mwenyewe vinginevyo utakamatwa sasa hivi ili ushughulikiwe na vyombo vya dola kwa jinai!
 
Cyo ya wizi mkuu..kuna jamaa aliiokota kwenye tax china!

Sent from my iPhone4 using JamiiForums
 
Mkuu for now on there's nothing you can do to bypass hiyo makitu
Fungia kabatini hadi hackers watakapopata solution ya kubaypass hiyo makitu
Apple ni ninoma kwenye hiyo
 
Jaribu kufanya alichosema big-diamond, ikishindikana kuwa mpole hadi ipatikane soln nyingine
 
The only solution ni wipe out everything katika iphone then u set new apple id.
1. download ios file ya iphone 5 mostly ios 7.1.1 ni nzuri
2. download latest version ya Itunes
3. Manually bila ku connect hiyo iphone yako katika pc press power button for 3 sec usiiachie hiyo power button press home button zote kwa pamoja kwa 10 sec, release power button but hold home button for almost 20 sec minimum.
4. then connect hiyo iphone yako ktk computer itunes ita idetect katika recovery mode. press shift navigate katika ios file uliyodownload then itunes itafanya the rest. make sure hiyo computer yako iko connected na internet.
5. final step weka laini ya simu then activate ikigoma kuactivate download program ya kichina inaitwa Pangu then jailbreak it.
6. Hiyo ni njia sahihi hata kama jamaa wameweka find my iphone or any security measure you wont get caught.
 
Back
Top Bottom